Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

wala hamhitaji bishana sana ,ila wana CCM wajue DEFECTORS watakuwa wengi sana as time goes on.Anayebaki atafunga mlango wa office zitakazokuwa magereza yao kwa makosa watakayofanya ktk dkk za mwisho za kujiokoa.

Hizi leakage ni ishara tuu kuwa wenzao wanajenga mazingira y akutokuwepo ktk makosa ya dkk za mwisho na wanachosubiri ktk CCM na serikali ni kilicho chao tuu.

Wapo watakaopambana hadi mwisho na historia itawahukumu ktk midahalo .wengine watawaona kam wanazi,wengine watawaona km mashujaa km maisha yataharibika sana miak ijayo.Wengine hata kubishniwa hakutakuwepo wataitwa waovu moja kwa moja
 
wala hamhitaji bishana sana ,ila wana CCM wajue DEFECTORS watakuwa wengi sana as time goes on.Anayebaki atafunga mlango wa office zitakazokuwa magereza yao kwa makosa watakayofanya ktk dkk za mwisho za kujiokoa.

Hizi leakage ni ishara tuu kuwa wenzao wanajenga mazingira y akutokuwepo ktk makosa ya dkk za mwisho na wanachosubiri ktk CCM na serikali ni kilicho chao tuu.

Wapo watakaopambana hadi mwisho na historia itawahukumu ktk midahalo .wengine watawaona kam wanazi,wengine watawaona km mashujaa km maisha yataharibika sana miak ijayo.Wengine hata kubishaniwa hakutakuwepo wataitwa waovu moja kwa moja
 
Kama kaupata Slaa umekuwaje waraka wa siri?

Kwani chama kuwa na mawasiliano na wanachama au viongozi wao kuwa chama chao kinapigania katiba mpya iwe na hiki au kile ni siri?

Kweli huyu dokta hana mshiko.
 
Kama kaupata Slaa umekuwaje waraka wa siri?

Kwani chama kuwa na mawasiliano na wanachama au viongozi wao kuwa chama chao kinapigania katiba mpya iwe na hiki au kile ni siri?

Kweli huyu dokta hana mshiko.
Duh jamaa yangu wewe ni sehemu ya kushindwa kwa CCM km huwezi elewa logic hapa.

Wazinzi wengi hufanya uzinzi kwa siri(kwavile si ok au salama kuwa in public), lakini wanapofanyia wakiami kuwa ni siri pakawa ni mahali anapoona mtu aiyestahili.Sijui utadai kuwa haikuwa siri?Siri ni intentional,na inajengewa mazingira ya kufichwa.sasa kama kufichwa hakukua kuzuri ni habari ingine.

PASSWORD NI SIRI ILA ZINAPATIKANA UTAKATAA KUWA SI SIRI?Badala ya kujiuliza ni vipi na ni kwanini siri zinavuja.Unajidanganya na hizi posting.
 
mzee kweli ni mnafiki , chekeleeni2 kauli zake na uzushi wake ipo cku nchi hii itakuwa damu.
Iwe damu mara ya ngapi? huoni mama na dada zetu wanaokufa kwa kukosa huduma wakati waa kujfungua? huoni wanaokufa njaa?? huoni wanaouawa na polisi-refer Arusha na songea, huoni watoto chini ya 5 years wanakufa kwa kukosa tiba?? huoni ajali zilizokithiri kila mahali? Au unataka mpaka iwe mauaji ya kimbali kama Rwanda au igeuke somalia ndio ujue watu wanakufa??
 
U can fool some ppo some time bt u can fool all the ppo all the times.Sasa vipofu wanaona n viziwi wanasikia so acheni kutishia watu kwa kigezo cha damu kumwagika.Na kwa kufanya hivyo mnatuthibitishi uma wa tz kuwa chama tawala ni wavunjifu wa amani na wamwagaji damu.How come wapinzani wakishindwa no vita bt watawala waki shindwa iwe vita? WHY???
 
Wanajiuliza Dr. Slaa anapata wapi data! Au mchawii nini? Mungu akikufungua macho bana, hutayafunga tena hata kije kimbunga usoni. CCM is within Slaa's hands now. He has managed it.
 
huyu mzee anazeeka vibaya.amesahau mbowe alivosema anakubali yaishe pale mjengoni???
 
hawezi kwenda huyo,ndio wale wale magamba,we huoni jina limekaa kigambagamba khaaa

Bahati mbaya nimebatizwa hivyo nasitumii jina zaidi ya la kwangu, sasa sijui kuna ugamba wa kubatizwa nao au laa maana naamini all were gambas and wanaji un-gamba as days goes on. One is the subset of the other. Inawezekana uelewa wako ni finyu.
U={ all citizens }
A={ CDM. }
B={ CCM. }
E.t.c
Sasa kujua minor issues kama hizi hakuhitaji uwe gamba au CDM.
 
Kwani CHADEMA mna uchungu na nchi hii? kama mnao, mmeshafanya kitu gani kwa ajili ya kulinusuru hili taifa toka lindi la umaskini?.
"Wasiosoma ni chakula cha wasomi".

Shirikiana na akili yako nga kidogo Mkuu, Kuishabikia ccm ni kuinajisi akili yako.
 
Mbona hueleweki mkuu? Hiyo nukuu yako haieleweki. Unamaanisha kuwa cdm ni wasomi wanaokula wasiosoma? Au unahalalisha ujinga wa viongoz wetu wa kujifanya wamesoma kwa ajili ya kuwala watz? Km ndivyo tumewas2kia

Achana naye huyo anaugua ugonjwa wa Lusinde & Mkapa syndrome
 
Back
Top Bottom