Waraka wa siri kwa wana Igunga

Nyie mnaomtetea rost wote mmelost kwan rost mwenyewe mnamuona tu kwenye tv 2acheni sisi wanaigunga ndo tunaemfaham hatutaki kumsikia wala kuona hayo magamba yake tunachookitaka sasa ni mabadiliko ya kweli na maendeleo ya dhati.igunga bado ni moja ya wilaya duni sana hapa nchini msitudanganye na takwim zenu za kupanga eti igunga ndo wilaya inayoongoza kwa maendeleo nchini uongo mtupu
 
<br />
<br />
Safiiii sana mkuu wasitudanganye na maendeleo ya maneno,tunataka maendeleo ya ukweli sio porojo na hadithi za uongo mara oooh SUNGURA KAMKABA TEMBO,wana Igunga msiichague CCM ni wababaishaji wakubwa.
 
Wilaya inayoongoza kimaendeleo?we kweli hauko nchini kweli!
 
Tumieni akili zenu na busara zenu kujibu hoja na si mapenzi ya mtu au chama!nchi hii ni yetu sote na si mtu mmojammoja!
 
Igunga wapeni ushindi wapinzani ili wawakomboe watanzania.
 
ule usemi wa baba wa taifa wa "kaburu ni kaburu tu" naomba tuufikirie vizuri sana. sio tu Igunga bali ni nchi nzima sasa ni wakati wa kuamka tuone mbele sio kuendelea kuwarudisha mafisadi madarakani. Igunga ionyeshe mfano
 
<br />
<br />

Igunga haiwezi kuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo. Labda kama unailinganisha na Bahi


Tuyuku umesema kweli. Wana JF ni vizuri wakati tunachangia kutoa takwimu sahihi ili watu wengine wajifunze kutoka kwenye mijadala yetu. Igunga ni moja ya wilaya yenye tatizo kubwa la ukosefu wa maji (siongelei sekta nyingine). Watu hutumia muda mwingi sana kufuta maji kwa kutumia baiskeli, matela ya ng'ombe na punda. Hivi haya ndiyo maendeleo ya kujivunia? Jina kama la bwawa la ''Njoo na maji" ("Ng'wanzugi na minzi") yanatoa taswira halisi la wilaya hii jinsi ilivyo nyuma kimaendeleo ingawa ina utajiri mwingi wa mifugo na kilimo cha pamba.
 
anayesema Rostam Az sio fisadi akapimwe akili, kama yuko nje labda ni mwanae
 


Hapo kwenye red panahusika yani wana Igunga mkichagua ccm ndo tutajua kumbe nyie
1.sio wazalendo
2.MNAFIKIRI KWA MAKALIO tena isitoshe mtazidisha na kufikiri kwa kutumia m.....

Elimu kwa wana Igunga
Mkichagua chama chochote cha upinzan mtakuwa mmeonesha angalau mwanga wa fikra zenu kukomaa na kufikiri sawasawa.



"BE THE CHANGES YOU WANTS"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…