Waraka wa rasimu ya Katiba mbadala----By CCM

Ohanes

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
42
Reaction score
4
Sisi wanaccm tumeusoma waraka huu na kubaini kuwa viongozi wa chama chetu wamekosa uzalendo kwa taifa hili, na wanatapatapa la kuingilia bunge maalum la katiba maana hata waraka huu feki baado unakubali serikali tatu kihalisia, sasa kwa nini wamungunye maneno kwa kusema ccm inataka serikali mbili??
Wanajamvi ebu someni kilichoandikwa kwenye waraka huu alafu tuchangie kwa hoja, hii ni kwa maslai ya taifa letu.

Muundo wa Bunge

Kuhusu Bunge, waraka huo unapendekeza kuwe na Baraza la Wawakilishi la Tanzania Bara kwa ajili ya kushughulikia masuala ya Bara tu.

Swali: Kama wanapendekeza baraza jipya la mawaziri wa bara/Tanganyika je hii si Serikali kamili???

Pili, rasimu inapendekeza pia kuwe na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.

Swali la pili: Je hili nalo si ni baraza la nchi huru???
 
Ndo maana kila uki rearrange, uki relocate,uki reverse bado unakuta ni serikali 3. Lakini waraka haukutenda haki, ilitakiwa useme katiba ya Zanzibar ya 2010, ni batili, lakini haijakemea. Au la ilitakiwa iseme katiba ya Zanzibar 2010 ni halali, hivyo na nchi shirika/mwenza yaani Tanganyika( hata ukiita Tanzania bara) nayo hima iandike katiba yake pia.
 
Hao wamebaki kuwa genge la wahalifu wanaotafuta hifadhi kwenye Katiba Mpya, Kwa mtu kabisa mwenye akili Timamu asingemshangilia mwenyekiti wao wakati anadandia Hoja ya Katiba mpya bila maandalizi. Ili historia isiwahukumu wao wakubali yaishe wawaachie wabunge wapitishe rasimu kama ilivyopendekezwa na Tume ya Waryoba. Hapo walipofika ni pagumu sana. Watahangaika sana lakini mwisho wake ni kujidhalilisha ama kuliingiza taifa kwenye mgogoro mkubwa. Mie ningekuwa JK. Ningehakikisha nasimamia Katiba inatoka kama walivyopendekeza wananchi. Wala nisingejitwisha lawama na kuharibu Reputation yangu milele daima. Asiwasikilize hao whalifu wenye kutaka kupindisha mawazo ya wananchi na kuleta kile ambacho hakimo.
 
JK alibip wananchi wanampigi sasa anasita kupokea.
 
Akika ninawaambieni akuna dhambi kubwa katika nchi hii kama kushabikia ccm"
 
Hapa CCM hawatoki otherwise wanataka kuligawa hili taifa vipande vipande, hatuko tayari tena kutawaliwa na visiwa vya zanziba never.. kitendo cha Zanzibar kutambuliwa kama nchi ni kitendo cha kuidhalilisha tanganyika kama taifa huru hatuwezi kukubali huu upuuzi wa maCCM.
 
Mwenye waraka huo wa CCM atuwekee hapa tuusome wakuu.
 
....kwani CCM nao si walitoa maoni yao mbele ya tume ya warioba? kama jibu ni ndio so waraka wa rasimu mbadala wa nini?...Rasimu ni ile ilitolewa na tume ya warioba hiyo CCM ni ya MAFISADI....NYIE WABUNGE TUNAWASOMA VIZURI SANA YEYOTE ATAKAYE KENGEUKA ASIJE KULAUMU MTU HAPA...SI MMEONA NDASA?,MWIGULU NAE KABADILIKA SASA ETI ANAPINGA POSHO KUONGEZWA...YEYE YUNA MSAMEHEE MAANA ANA MATATIZO LAKINI WEWE AMBAYE UTAPINGA MAONI YETU NA KULETA ZAKO NA MKEO TUTAWAPOTEZA.
 
Back
Top Bottom