Kwahiyo Magufuli alipuuza waraka? Kumbe hauna maana yoyoteWakati wa Magufuli hukuona waraka wowote toka TEC? Umejaa huku JF.
Tatizo lenu mnaendeshwa na mahaba ya dini yenu, hamtaki mama yenu aguswe hata akikosea wazi, hilo haliwezekani, sio kwa Tanganyika hii ya leo.
Kama hamtaki aguswe, muondoeni ikulu muende nae Makunduchi halafu muone kama yupo atakayehangaika nae.
Hio tanganyika ipo wapi😳?.sio kwa Tanganyika hii ya leo
Hamuwezi kujificha. Wavaa makubazi utawajua tuSerikali imetwangwa barua waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali,...
Zinatolewa kwa awamu zipi? Zitaje ili twende saw!!Serikali imetwangwa barua waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ...
Wajinga hawa.Wakati wa Magufuli hukuona waraka wowote toka TEC? Umejaa huku JF.
Tatizo lenu mnaendeshwa na mahaba ya dini yenu, hamtaki mama yenu aguswe hata akikosea wazi, hilo haliwezekani, sio kwa Tanganyika hii ya leo.
Kama hamtaki aguswe, muondoeni ikulu muende nae Makunduchi halafu muone kama yupo atakayehangaika nae.
Maendeleo ya kwelikweli ya nchi yataletwa na Rais mpagani au asiyekuwa mkristo. Wakoloni na watesi wetu wamejifisha na kujibanza kwenye madhabahu ya makanisa. Dini hii waliileta wao hivyo wanajua Kwanini waliiteta.jana Gerson Msigwa kushatangaza Serikali inaendelea na Mkataba wa ukodishaji wa Bandari
kuna watu hawaamini maana walidhan utulivu wa Serikali hii ni ishara ya kuwaogop...
Kabla ya kuwashambulia Maaskofu wa kanisa Katoliki hebu waambieni viongoze wenu huko misikitini waache kujikomba kwa viongozi wa serikali.Serikali imetwangwa barua waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada...
Utaondoka wewe, Mama bado yupo sanaWakati wa Magufuli hukuona waraka wowote toka TEC? Umejaa huku JF.
Tatizo lenu mnaendeshwa na mahaba ya dini yenu, hamtaki mama yenu aguswe hata akikosea wazi, hilo haliwezekani, sio kwa Tanganyika hii ya leo.
Kama hamtaki aguswe, muondoeni ikulu muende nae Makunduchi halafu muone kama yupo atakayehangaika nae.
Sio yataletwa na Rais Muislam mkuu?Maendeleo ya kwelikweli ya nchi yataletwa na Rais mpagani au asiyekuwa mkristo. Wakoloni na watesi wetu wamejifisha na kujibanza kwenye madhabahu ya makanisa. Dini hii waliileta wao hivyo wanajua Kwanini waliiteta.
Mama yupo sanaaaa, yaani Mungu akipenda ni mpaka 2030, uhai, umri na afya vikiwepoWakati wa Magufuli hukuona waraka wowote toka TEC? Umejaa huku JF.
Tatizo lenu mnaendeshwa na mahaba ya dini yenu, hamtaki mama yenu aguswe hata akikosea wazi, hilo haliwezekani, sio kwa Tanganyika hii ya leo.
Kama hamtaki aguswe, muondoeni ikulu muende nae Makunduchi halafu muone kama yupo atakayehangaika nae.
Wewe utaishi na maumivu mpaka siku ya mwisho ya Rais SSH pale ikulu. Una bitterness mbaya, utakuwa mtu mmoja mdini sana lakini unaona udhaifu wa wengine bila ya kujitazama mwenyewe kwanza.Wakati wa Magufuli hukuona waraka wowote toka TEC? Umejaa huku JF.
Tatizo lenu mnaendeshwa na mahaba ya dini yenu, hamtaki mama yenu aguswe hata akikosea wazi, hilo haliwezekani, sio kwa Tanganyika hii ya leo.
Kama hamtaki aguswe, muondoeni ikulu muende nae Makunduchi halafu muone kama yupo atakayehangaika nae.
Nakazia kwa sanaaaaaaa, jamaa anaonesha wazi chuki zake kwa waislam, isijekuwa huyu ndio papa mwenyeweeeeWewe utaishi na maumivu mpaka siku ya mwisho ya Rais SSH pale ikulu. Una bitterness mbaya, utakuwa mtu mmoja mdini sana lakini unaona udhaifu wa wengine bila ya kujitazama mwenyewe kwanza.
Zimetoka nyaraka nyingi sana kuhusu bandari.Naona huu wa Maaskofu una nguvu sana.Yaani haupoi.Serikali imetwangwa barua waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Nakazia na kukazia jamaa ni mdini sana tena ana chuki kweli na waislam, uskute kumbe ndie papa huyu?Wewe utaishi na maumivu mpaka siku ya mwisho ya Rais SSH pale ikulu. Una bitterness mbaya, utakuwa mtu mmoja mdini sana lakini unaona udhaifu wa wengine bila ya kujitazama mwenyewe kwanza.
Umeandika "....wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama vile nyumba, mashirika ya uma, migodi yetu...."Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Labda ndio maana kafa, who knows?!.Kwahiyo Magufuli alipuuza waraka? Kumbe hauna maana yoyote