Waraka wa John Bocco kuhusu timu ya Taifa

Waraka wa John Bocco kuhusu timu ya Taifa

Kunawalaka ulioandikwa na john bocco kuhusu soka la bongo Mimi nimepata kuhusikia juu juu tu sasa nnashida ya kuusoma mwenye nao autupie humu
 
Kunawalaka ulioandikwa na john bocco kuhusu soka la bongo Mimi nimepata kuhusikia juu juu tu sasa nnashida ya kuusoma mwenye nao autupie humu

A point of correction
Ni Waraka sio Walaka
Kuusikia sio Kuhusikia
 
Kunawalaka ulioandikwa na john bocco kuhusu soka la bongo Mimi nimepata kuhusikia juu juu tu sasa nnashida ya kuusoma mwenye nao autupie humu

Utaupata kwenye tovuti ya Shaffih Dauda
 
wachezaji wabovu wanatoka kwenye miteam mibovu, hainanhaja ya kusingizia viwanja,mipira sijui na matunzo.

hii ni excuse ya kipumbavu kabisa labda useme ligi mbovu hii ya kununua na kuuza mechi hapo sawa. nawewe inasemekana ni mhusika mmoja wapo wa kuuza na kucheza chini ya kiwango mchezapo na team flan. matokeo yake mnazoea kucheza chini ya kiwango hata mech za kimataifa.

ndo kawaida ukishazoea unakuwa umezoea. sasa unajikuta hata mechi serious unacheza chin ya kiwango.michezaji yetu ni mibangi tu haina hata nidhamu mnafungwa mpaka na waswazilang? washelisheli? watu wanshindia urojo tu wanawafunga nyie mna akili kweli? mnafungwa na kila team hapa dunian nyie team gan?

hii timu wapigwe tu risasi wote tuanze upya kusaka vipaji. nimeudhika sana mpka najisikia aibu maana sasa tumekuwa KICHWA CHA MAITI KABISA kila mtu anaweza nyoa maana ni bure kabisa hili li timu kama LA MAZOMBIE. na umekuja hapa umeleta WARAKA WAKO HATA KISWAHILI KIBOVU KABISA.

UNAZIDI TU KUTUCHEFUA KOTEKOTE. HII LIGI NLISEMA ITATUGHARIMU KWA KUUZA NA KUNUNUA MECHI.

HATUJAMALIZA HATA MWAKA.
 
MAREFA: Wamekujibu kwa jazba sana mf.Yeye(John Boco alifunga magoli mangapi huko South?)
Nao watujibu ni lini mara ya mwisho marefa wa TZ waliwahi kuchezesha mashindano ya AFCON,CAF confdration au CAF champions.....achilia Mbali WC!!!
 
Haaahaa nilidhani adebayor wa Tottenham kumbe ni boko!! Mpira wa bongo kuufatilia yakupasa uwe fyatu kidogo (ukweli unageuzwa uongo) na ukubali tu.
 
wenye viwango wapo tatizo tff na makocha wao, wenye vipaji hawateuliwa mpaka ucheze dimba,yanga au azam kwa nini?

Leo mchezaji yupo huko Mbeya city aitwi timu ya taifa, lakini kesho tu akichahuliwa Adam au simba asubuhi anaitwa kwanini ? au kocha Nazi take ni kuangalia yanga na simba tu ?

hivi kweli tukimpa mzawa mamlaka ya kuteua timu nyingine atashindwa kweli kuteua timu bora ?

kama Jamal Malinzi anaeeza kutumia 360M kwa kutafuta vipaji feki anashindwa mini kutengeneza timu nyingine ya taifa yenye kocha mzawa? then tuone kama kweli hakuna vipaji nje ya hawa we simba na yanga ?

Nakubaliana na kila point yako Mkuu. Hayo yote uliyoandika ni moja wapo ya factors zinazosababisha Ugonjwa. Ila haiondoi ukweli wa kilichoandikwa na Boko (Iwapo tumemsoma katika mistari).

Tatizo langu ni kwa nini tumshutumu Boko kwa uthubutu wake na kutumia haki yake kikatibu kwa kueleza mawazo yake na kile anachokiona.
 
Sina tatizo na Bocco nad by the time naadika hapo, nilikuw asijausoma huo waraka.
 
Back
Top Bottom