Waraka wa Diwani mstaafu wa CHADEMA kwa Tundu Lissu

DIWANI WA CHADEMA AMWANDIKIA UJUMBE LISSU.

Lissu ukifika Ubelgiji waulize kaburi la Lumumba liko wapi?.

Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi, .mahakama ya haki hufuatwa na wenye mikono safi. Hili halihitaji ufafanuzi, linajieleza na linaeleweka. Ila tu kwa watu wapenda mifano iko hivi, ukienda kumshtaki mtu kwa kesi ya kuiba kuku huku nyuma mahakama ilikuwa inakutafuta kwa kesi ya kuiba bata, basi mahakama itasikiliza kesi yako ya kuibiwa kuku, lakini ujue mara baada ya kesi ya kuku ile ya bata itaendelea. Kwahiyo mahakama ifuate ukiwa na mikono safi.

Aliyekuwa mgombea Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwa tiketi ya CHADEMA amesema atarudi Ubelgiji sababu ya tishio la usalama wake hapa nchini. Ni sawa, ni haki yake.

Kwanza siwezi sema tishio hili si la kweli. Nitakuwa mpuuzi wa kwanza kupuuza tishio la uhai wa mtu. Lakini nitakuwa mjinga zaidi kukubali kuwa nchi salama kwa Lissu kwa hifadhi yake ni Ubelgiji. Wamekuwa wasafi lini hawa watu? Wametubu lini? Ubelgiji hii hii ninayoijua mimi?

Lissu vuta picha ukiwa ndani ya ndege ukienda huko mbinguni ulikopatengeneza ghafla ndege kubwa ulilopanda la KLM linaweka video ya historia na maisha ya Patrice Lumumba muasisi wa Taifa la Congo-Kinshasa utakuwa katika hali gani.?

Anewei, ngoja nibadili mfano wa swali. Hilo dege kubwa utakalopanda mathalani lipitie anga la Congo hii ya Felix Tshisekendi, ukiwa angani kuelekea uhamishoni utakuwa na hali gani ndani ya nafsi unapochungulia ardhi ya Congo yenye rutuba iliyotapakaa damu kwa takribani nusu karne huku ukijua wazi huko uhamishoni kwako ndiko kulikokokwa moto wa kuyafanya haya.?

Lissu, wanaokupokea hawana mikono safi kuhukumu wengine. Narudia lini walitubu na kusamehewa dhambi ya kumuua Patrice Lumumba? Afrika yote ina deni na wabelgiji. Watuoneshe hata kaburi la Lumumba tu tuwasamehe. Waafrika tuna mila zetu ikiwemo kufanya matambiko kwenye makaburi ya babu zetu. Kaburi la babu yangu Lumumba liko wapi? Basi waulize lile pipa la asidi kulimowekwa vipande vya mwili wa Lumumba waliimwaga wapi walau nikabusu ardhi yake kumtakia heri babu yangu.

Nitaandika zaidi ukiwa huko Ubelgiji, ila ukifika huko waulize kwa mikono safi waliyo nayo kupokea wanaotishiwa uhai wa maisha, wakuambie kaburi la Lumumba lilipo, tuna shida nalo wajukuu zake. Tunahitaji kutambika, mkewe anahitaji kulijengelea kaburi hilo. Wanawe wanataka kuweka maua juu yake. Kwa ujumla Ubelgiji kaniulizie kaburi la Lumumba lilipo. Natumai wakikwambia utanijuza ili siku unaapishwa kwa kazi atakayokupa JPM nami niwe naelekea Congo kwa tambiko.

Bunju, Kawe

Haha haha ha.

Labda ulimaanisha diwani asumani jombi?
 
Brussels ndipo yalipo makao makuu ya umoja wa ulaya (European Union).
Nafikiri atakuwa huko kwa hisani ya nchi nyingi.
Hamchelewi kusema mmemtuma Lissu akalipize kisasi cha Patrick Lumumba!! Tunawajua mnavyobadili gia angani!
 
Unakuja kuja lakini unapotea.

Kilichomuua Lumumba wala si usaliti wa wenzake bali "The history concerning his death says it was an Imperialist plan to accomplish their targeted mission "

Mzungu hawezi keupuka kutajwa kwenye migogoro Africa na Kwingineko kama kule kwa waarabu kwa sababu, mzungu ndiye anaechonganisha tupigane na kuuana alafu yeye aibe anachotaka aondoke sisi tukibaki kupigana.

Utaachaje kumtaja mzungu wakati ndiye anaepandikiza wanafiki na wasaliti ndani yetu ili tugombane yeye afanye anachotaka ?
Mzungu hawezi kuachwa kulaumiwa kama hata wanunua waafrika wenzetu na kuwapa kila sapoti ya silaha na fedha ili awatumie kufanya wanachotaka.
Kwa mujibu wa maelezo yako nadhani shida siyo mchonganishi bali shida ipo kwa wanaokubali kuchonganishwa.Mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwezie.
 
Yani ryoba yule ndo kawa mpumbavu vile dah mkuu nimechoka kwakweli
Kuna shida hapa. Ile sio bure. Utawala huu umeharibu akili. Vituko juu ya vituko. Hawana simile tena. Mbele kwa yote. Soni ilinyewa chooni. Midubwana na midubwasha kila idara. Inatisha na kusikitisha. Naililia nchi yangu!
 
Kumbe na ww umeangalia? Nilitamani nipasue TV.... eti Ryoba anadai US wameiga Tz kuhusu kuwa na makamu wa Rais mwanamke!!

Najiuliza sana hizi PhD huwa zinatolewaje? Inapaswa iundwe tume ya kureview hizi PhD feki!!
Hahahaha...

Kuna mambo huwa yanatokea Tanzania tu
 
DIWANI WA CHADEMA AMWANDIKIA UJUMBE LISSU.

Lissu ukifika Ubelgiji waulize kaburi la Lumumba liko wapi?.

Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi, .mahakama ya haki hufuatwa na wenye mikono safi. Hili halihitaji ufafanuzi, linajieleza na linaeleweka. Ila tu kwa watu wapenda mifano iko hivi, ukienda kumshtaki mtu kwa kesi ya kuiba kuku huku nyuma mahakama ilikuwa inakutafuta kwa kesi ya kuiba bata, basi mahakama itasikiliza kesi yako ya kuibiwa kuku, lakini ujue mara baada ya kesi ya kuku ile ya bata itaendelea. Kwahiyo mahakama ifuate ukiwa na mikono safi.

Aliyekuwa mgombea Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwa tiketi ya CHADEMA amesema atarudi Ubelgiji sababu ya tishio la usalama wake hapa nchini. Ni sawa, ni haki yake.

Kwanza siwezi sema tishio hili si la kweli. Nitakuwa mpuuzi wa kwanza kupuuza tishio la uhai wa mtu. Lakini nitakuwa mjinga zaidi kukubali kuwa nchi salama kwa Lissu kwa hifadhi yake ni Ubelgiji. Wamekuwa wasafi lini hawa watu? Wametubu lini? Ubelgiji hii hii ninayoijua mimi?

Lissu vuta picha ukiwa ndani ya ndege ukienda huko mbinguni ulikopatengeneza ghafla ndege kubwa ulilopanda la KLM linaweka video ya historia na maisha ya Patrice Lumumba muasisi wa Taifa la Congo-Kinshasa utakuwa katika hali gani.?

Anewei, ngoja nibadili mfano wa swali. Hilo dege kubwa utakalopanda mathalani lipitie anga la Congo hii ya Felix Tshisekendi, ukiwa angani kuelekea uhamishoni utakuwa na hali gani ndani ya nafsi unapochungulia ardhi ya Congo yenye rutuba iliyotapakaa damu kwa takribani nusu karne huku ukijua wazi huko uhamishoni kwako ndiko kulikokokwa moto wa kuyafanya haya.?

Lissu, wanaokupokea hawana mikono safi kuhukumu wengine. Narudia lini walitubu na kusamehewa dhambi ya kumuua Patrice Lumumba? Afrika yote ina deni na wabelgiji. Watuoneshe hata kaburi la Lumumba tu tuwasamehe. Waafrika tuna mila zetu ikiwemo kufanya matambiko kwenye makaburi ya babu zetu. Kaburi la babu yangu Lumumba liko wapi? Basi waulize lile pipa la asidi kulimowekwa vipande vya mwili wa Lumumba waliimwaga wapi walau nikabusu ardhi yake kumtakia heri babu yangu.

Nitaandika zaidi ukiwa huko Ubelgiji, ila ukifika huko waulize kwa mikono safi waliyo nayo kupokea wanaotishiwa uhai wa maisha, wakuambie kaburi la Lumumba lilipo, tuna shida nalo wajukuu zake. Tunahitaji kutambika, mkewe anahitaji kulijengelea kaburi hilo. Wanawe wanataka kuweka maua juu yake. Kwa ujumla Ubelgiji kaniulizie kaburi la Lumumba lilipo. Natumai wakikwambia utanijuza ili siku unaapishwa kwa kazi atakayokupa JPM nami niwe naelekea Congo kwa tambiko.

Bunju, Kawe
Dogo kula bata, kibarua kinaendelea.
Lissu hapa tz hapaamini sana kwa usalama wake.
Kule Belgium hakuna yeyote anayemtishia maisha.

We kula bata, si ameshaondoka.
 
Da we jamaa ni mjinga sana,
Uwezi kuwalaumu wajerumani wa leo kwamba ndio waliangamiza wayahudi,wajapani wa leo sio walioshambulia Pearl harbour,au turudi hapa bongo CCM ya leo sio wale waliopiga fedha haramu ktk skandali za kutisha ,EPA,Richmond,Meremeta,waliuza mpaka wanyama hai uarabuni,
We unajua kilichotokea mgodi wa nyamongo,wakati wananchi wanazikwa wazima awamu ya ben Mkapa,TL ndio alikuwa mtetezi.
Hakuna Taifa lisilo na damu mikononi mwake,SA,Vatican Rome,
Hata huko Congo,Mobutu,na wenzie hawakuwa wabeligiji,walioshika mapanga na kuuana Rwanda na Burundi hawakuwa wazungu.
Usiendekeze njaa jamaa,najua upepo wa kisurisuri wa wizi wa kura umekupitia,sasa unatafuta jinsi ya kutoka,jiwe akuone,
 
Tundu Lissu kaenda Kwa mume wake na wala sio kutafuta hifadhi ya kisiasa!!
 
Munapojaribu kubishana nae, mukumbuke tu kuwa huu ni msimu wa uteuzi wa nafasi mbali mbali na sifa kuu ya mteuaji ni uwe na uwezo wa kuwatukana na kuwaponda ponda wale asiowataka, ukiweza hayo vzr basi wewe kwake ni kiongozi mzr.
 
Kuna shida hapa. Ile sio bure. Utawala huu umeharibu akili. Vituko juu ya vituko. Hawana simile tena. Mbele kwa yote. Soni ilinyewa chooni. Midubwana na midubwasha kila idara. Inatisha na kusikitisha. Naililia nchi yangu!
Sasa hivi wanapanga na kutenda kwa mtindo wa kumfurahisha Mfalme bila kujali athari zake,liwalo na liwe maana wameambiwa hakuna wa kuwauliza.Wamesahau kuwa Siku hazigandi...
 
DIWANI WA CHADEMA AMWANDIKIA UJUMBE LISSU.

Lissu ukifika Ubelgiji waulize kaburi la Lumumba liko wapi?.

Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi, .mahakama ya haki hufuatwa na wenye mikono safi. Hili halihitaji ufafanuzi, linajieleza na linaeleweka. Ila tu kwa watu wapenda mifano iko hivi, ukienda kumshtaki mtu kwa kesi ya kuiba kuku huku nyuma mahakama ilikuwa inakutafuta kwa kesi ya kuiba bata, basi mahakama itasikiliza kesi yako ya kuibiwa kuku, lakini ujue mara baada ya kesi ya kuku ile ya bata itaendelea. Kwahiyo mahakama ifuate ukiwa na mikono safi.

Aliyekuwa mgombea Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwa tiketi ya CHADEMA amesema atarudi Ubelgiji sababu ya tishio la usalama wake hapa nchini. Ni sawa, ni haki yake.

Kwanza siwezi sema tishio hili si la kweli. Nitakuwa mpuuzi wa kwanza kupuuza tishio la uhai wa mtu. Lakini nitakuwa mjinga zaidi kukubali kuwa nchi salama kwa Lissu kwa hifadhi yake ni Ubelgiji. Wamekuwa wasafi lini hawa watu? Wametubu lini? Ubelgiji hii hii ninayoijua mimi?

Lissu vuta picha ukiwa ndani ya ndege ukienda huko mbinguni ulikopatengeneza ghafla ndege kubwa ulilopanda la KLM linaweka video ya historia na maisha ya Patrice Lumumba muasisi wa Taifa la Congo-Kinshasa utakuwa katika hali gani.?

Anewei, ngoja nibadili mfano wa swali. Hilo dege kubwa utakalopanda mathalani lipitie anga la Congo hii ya Felix Tshisekendi, ukiwa angani kuelekea uhamishoni utakuwa na hali gani ndani ya nafsi unapochungulia ardhi ya Congo yenye rutuba iliyotapakaa damu kwa takribani nusu karne huku ukijua wazi huko uhamishoni kwako ndiko kulikokokwa moto wa kuyafanya haya.?

Lissu, wanaokupokea hawana mikono safi kuhukumu wengine. Narudia lini walitubu na kusamehewa dhambi ya kumuua Patrice Lumumba? Afrika yote ina deni na wabelgiji. Watuoneshe hata kaburi la Lumumba tu tuwasamehe. Waafrika tuna mila zetu ikiwemo kufanya matambiko kwenye makaburi ya babu zetu. Kaburi la babu yangu Lumumba liko wapi? Basi waulize lile pipa la asidi kulimowekwa vipande vya mwili wa Lumumba waliimwaga wapi walau nikabusu ardhi yake kumtakia heri babu yangu.

Nitaandika zaidi ukiwa huko Ubelgiji, ila ukifika huko waulize kwa mikono safi waliyo nayo kupokea wanaotishiwa uhai wa maisha, wakuambie kaburi la Lumumba lilipo, tuna shida nalo wajukuu zake. Tunahitaji kutambika, mkewe anahitaji kulijengelea kaburi hilo. Wanawe wanataka kuweka maua juu yake. Kwa ujumla Ubelgiji kaniulizie kaburi la Lumumba lilipo. Natumai wakikwambia utanijuza ili siku unaapishwa kwa kazi atakayokupa JPM nami niwe naelekea Congo kwa tambiko.

Bunju, Kawe
Umeniumiza sana kwa maneno yako. Umenikumbusha mbali mno. Kweli lisu yafaa tumufuatilie hoja zake kwa makini. Je ni aina ya Tshombe?
 
Back
Top Bottom