ni kweli ila inatakiwa tbc waanze na hilo je inawezekana?
kwa nini unafikiri tbc ndio wanapashwa kuanza?
Hello Yahya, leo nilichangia kidogo katika kipindi chako ulichokua unatizama namna vyombo vya habari vilireport uchaguzi wa arumeru.
sina shida sana na namna vyombo vya habari vinareport campaigns, ingawa kuna namna nyingi mnaweza kuboresha, mfano kuwa mnatuonesha kwa kulinganisha sifa za hao wagombea, kama walishawahi kuwa viongozi huko nyuma basi vitu walivovisimamia, kama walikua wabunge hoja gani walizisukuma, kama walikua ni watu wa kudai nyongeza zo posho tu basi msifiche tuwekeeni hivi vitu hadharani.
Mchango wangu mkubwa ni namna mnacover ile siku ya uchaguzi, kama nilivochangia asubuhi, itakua nzuri kama mtakua na system ambayo kadiri mnavyopokea matokeo kutoka katika vituo basi yenyewe itakua inatupa jumla ya kura kwa kila mgombea na inatuambia ni vituo vingapi tayari mmepata matokeo yake na vituo vingapi bado, hii kitu mnakuwa mnaiweka katika screen inaupdate na inaonekana kadiri matokeo yanavyopokelewa (i hapo unaelewa najojaribu kusema, tizama namna tv za kenya zilifanya wakati wa kura ya katiba au cnn na msnbc ambavyo huwa wanafanya, hii itasaidia vitu viwili vifuatavyo
1. wadau wenu tutapata muelekeo wa matokeo mapema kabisa, hivo kuinyima tume 'haki' ya kutuchakachua
2. itapunguza mivutano na vurugu kwa sababu kila kitu kiko wazi, kama ni kuchakachua basi itakua maeneo mengine lakini sio katika ujumlishaji.
makuunga sana mkono kwa ushauri huo star tv....sidhani kama ni technologia ngumu sana kiasi kituo makin kama star tv iwasinde koz mmesha fanya mambo makubwa zaii ya hili dogo....
TBC nayo ni chombo cha habari? Startv wanafanya vyema!
...haya ni mawazo mazuri sana na kama Star mtayafanyia kazi...jambo moja ambalo na mimi ngependa niongeze ni kuwashauri kwamba..."jitahidini kuwa wepesi"...haipendezi tukio linatokea hapa hapa Mwanza mchana taharifa mnatuletea kesho yake kwenye taharifa ya habari ya saa mbili usiku,ebu kuweni wa kwanza kutupa habari...tofauti na haya mapungufu machache mnajitahidi sana na kazi yenu imeboreka na inapendeza hongereni sana...Hello Yahya, leo nilichangia kidogo katika kipindi chako ulichokua unatizama namna vyombo vya habari vilireport uchaguzi wa arumeru.
sina shida sana na namna vyombo vya habari vinareport campaigns, ingawa kuna namna nyingi mnaweza kuboresha, mfano kuwa mnatuonesha kwa kulinganisha sifa za hao wagombea, kama walishawahi kuwa viongozi huko nyuma basi vitu walivovisimamia, kama walikua wabunge hoja gani walizisukuma, kama walikua ni watu wa kudai nyongeza zo posho tu basi msifiche tuwekeeni hivi vitu hadharani.
Mchango wangu mkubwa ni namna mnacover ile siku ya uchaguzi, kama nilivochangia asubuhi, itakua nzuri kama mtakua na system ambayo kadiri mnavyopokea matokeo kutoka katika vituo basi yenyewe itakua inatupa jumla ya kura kwa kila mgombea na inatuambia ni vituo vingapi tayari mmepata matokeo yake na vituo vingapi bado, hii kitu mnakuwa mnaiweka katika screen inaupdate na inaonekana kadiri matokeo yanavyopokelewa (i hapo unaelewa najojaribu kusema, tizama namna tv za kenya zilifanya wakati wa kura ya katiba au cnn na msnbc ambavyo huwa wanafanya, hii itasaidia vitu viwili vifuatavyo
1. wadau wenu tutapata muelekeo wa matokeo mapema kabisa, hivo kuinyima tume 'haki' ya kutuchakachua
2. itapunguza mivutano na vurugu kwa sababu kila kitu kiko wazi, kama ni kuchakachua basi itakua maeneo mengine lakini sio katika ujumlishaji.
Star TV mkiaacha uccm daima mtafika mbali sana na hii itawabeba hata nyinyi watangazaji kimasilahi. Nawapongeza kwa kupunguza uccm na kusema ukweli mim huwa siangalii tbccm only I use to luku starstar tv atleast mmepunguza uccm japo nina wasiwasi na watu mnaowaalika wengi hawajui kujenga hoja.
star tv atleast mmepunguza uccm japo nina wasiwasi na watu mnaowaalika wengi hawajui kujenga hoja.
Mkuu Uswe pamoja na wadau wengine,
Kwanza kabisa kwa niaba ya menejimenti ya Star TV nichukuefursa hii kuwashukuru sana kwa kuelekeza fikarazenu kama sehemu ya kuwezesha utoaji wetu wahuduma kulenga hitajio halisi la mlaji katika soko la Media.
Mawazo haya ni ya thamani na mimi kama sehemu ya watumishiwa Star TV katika mstari wa utendaji nayachukulia kamanyongeza kubwa katika mipango yetu na matazamio tuliyojiwekea.
Uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki ulikuwa jaribio zuri laelimu katika matumizi ya teknolojia mpya tunayoendelea kujifunza katikakuwasilisha taarifa kwa takwimu kwa kutumia usanifu wa kisasa zaidi.Tutakapofanikisha kumudu matumizi ya teknolojia hiyo kwa kiwangokinachostahili, haya mliyopendekeza wanaJF yatakuwa ndani ya uwezo wetu: Nisuala la wakati.
ANGALIZO: Haya ni kauli rasmi ya menejimenti ya Star TV, nidokezo binafsi kati yangu na wanaJF kama mojawa watendaji walau kuwapa picha kidogo katika mawazo yenu mazuri.
WAY FORWARD: Thread hii nitaifikisha kamaagenda katika kikao cha menejimenti ya Star TV tuweze kuweka hadidu za rejea.
Niendelee kuwashukuru sanakwa Utayari wenu na niwatakie Pasaka njema
Max, Robbot na Wanafamilia wote wa JF
kaka hao star tbc hawana lolote,,mie nlikua mdau wao sana katika page yao ya tuongee asubuhi on fb,nkagundua napoteza mda kwa chombo chenye misimamo yake ya kisiasa,,ebu fikiria ni mara ngapi star tbc wamewahi kucover ipasavyo habari za mwnaume cdm??hello yahya, leo nilichangia kidogo katika kipindi chako ulichokua unatizama namna vyombo vya habari vilireport uchaguzi wa arumeru.
Sina shida sana na namna vyombo vya habari vinareport campaigns, ingawa kuna namna nyingi mnaweza kuboresha, mfano kuwa mnatuonesha kwa kulinganisha sifa za hao wagombea, kama walishawahi kuwa viongozi huko nyuma basi vitu walivovisimamia, kama walikua wabunge hoja gani walizisukuma, kama walikua ni watu wa kudai nyongeza zo posho tu basi msifiche tuwekeeni hivi vitu hadharani.
Mchango wangu mkubwa ni namna mnacover ile siku ya uchaguzi, kama nilivochangia asubuhi, itakua nzuri kama mtakua na system ambayo kadiri mnavyopokea matokeo kutoka katika vituo basi yenyewe itakua inatupa jumla ya kura kwa kila mgombea na inatuambia ni vituo vingapi tayari mmepata matokeo yake na vituo vingapi bado, hii kitu mnakuwa mnaiweka katika screen inaupdate na inaonekana kadiri matokeo yanavyopokelewa (i hapo unaelewa najojaribu kusema, tizama namna tv za kenya zilifanya wakati wa kura ya katiba au cnn na msnbc ambavyo huwa wanafanya, hii itasaidia vitu viwili vifuatavyo
1. Wadau wenu tutapata muelekeo wa matokeo mapema kabisa, hivo kuinyima tume 'haki' ya kutuchakachua
2. Itapunguza mivutano na vurugu kwa sababu kila kitu kiko wazi, kama ni kuchakachua basi itakua maeneo mengine lakini sio katika ujumlishaji.