Waraka kwa wana CHADEMA nchi nzima

Waraka kwa wana CHADEMA nchi nzima

nyoka wa makengeza

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
114
Reaction score
21
Ndugu wanachadema wenzangu tuna kazi mbili muhimu baada ya uchaguzi; kwanza kukirudisha chama kwa wananchi kutoka kwa mafisadi,pili kuhuisha misingi ya maadili ya uongozi
 
Wew naye hujitambua nani alikuaminisha chama ni cha wanachadema wakati watu wanajua kile ni kitega uchumi cha watu fuluni ,wew thubuttu kutia neno uone utakavyopelekwa mkuku ,kuwa UMENUNULIWA
 
Ndugu wanachadema wenzangu tuna kazi mbili muhimu baada ya uchaguzi; kwanza kukirudisha chama kwa wananchi kutoka kwa mafisadi,pili kuhuisha misingi ya maadili ya uongozi

Ukitumia neno "wanaccm" badala ya wanachadema utaeleweka sana
 
Ndugu wanachadema wenzangu tuna kazi mbili muhimu baada ya uchaguzi; kwanza kukirudisha chama kwa wananchi kutoka kwa mafisadi,pili kuhuisha misingi ya maadili ya uongozi

Mbona unaonyesha waziwazi wewe ni wa chama cha kijani.
 
Chadema mali ya Lowasa kanunua kwa bilion 10

Unahisi au una uhakika?

Kama unahisi basi wewe ni m mbeya.

Kama ni uhakika basi weka hata jina la bank malipo yalipofanyika angalau na ka slip ka bank.
 
Mwana Ongea na Mamayo mwambie sisi wana UKAWA tunasema CCM imekufa na Lowassa ndiye anayetosha na #HAPAZIKACCMTU!!

ccm kifo chake kingekuwa rahisi kama tungewaachia mgogoro wao,kwa sasa hali ni tofauti saana tumechukua baadhi ya waasisi wa matatizo ya ccm na kuwafanya nguzo ya vyama vya upinzani,ikumbukwe tatizo kubwa la ccm, sijui ni kuanzia lini,lilikuwa ni wanamtandao,wamesalitiana wametawanyika wapo ukawa wapo ccm tumekwisha.
nani ni tumaini jipya chama gani ni tumaini jipya,napata shida kupata majibu.
Wenye hamasa mehemko leteni majibu mepesi na ya haraka, lakini wenye kutafakari fikirini leteni majibu yenye hoja.
 
Mkuu Tony unamaanisha nn unapoxema mkateua rais wenu ukawa asiyependa choo.....???
 
Back
Top Bottom