Waraka kwa wadada wote kutoka kwa watu wenye mapenzi mema

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,228
5,950
Nimeipata hii mahala

Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu. Wanaume sio mbwa ni sisi wenyewe ndio tumeshindwa kufanya uchunguzi.

Tulishaambiwa kwenye kila mafanikio ya Mwanaume nyuma yake Kuna mwanamke!!! Na wewe unataka Mwanaume mwenye mafanikio unategemea nini??? Huyo sio mumeo mtarajiwa huyo ni mume wa mtu Fulani Ni agharabu sana kukutana na Mwanaume anayejiweza akawa single, either uwe shareholder au unyanganye share ya mwanamke mwenzio kitu ambacho sio busara.

Mume wako yupo anahangaika kutoka kimaisha anapigania ndoto zake. Huenda yuko shule, shamba, dukani au anabeti kimsingi yupo anapigania kuchomoka Kimaisha. Anakusubiri tu wewe umpe support na back up ya kutosha mtafute huyo uanze nae chini.
 
Mabinti wa sasa wajitahidi kujifunza toka kwa mamaa zao.. asilimia kubwa mama zetu wameolewa baba zetu wakiwa hawana ata godoro..wamefaiti pamoja wakajenga na kukuza familia..

Sema nyakati zinapita na vizazi vinapita, hawa wa sasa ni ngumu mno kuvumilia shida.. and always Woman loyalty tested when her man have nothing
 
Very true mtoa mada!! Ni wanawake wachache mno ambao wapo tayari kusafiri na mwanaume anayeelekea kwenye ndoto za maisha yake!! Wengi hupenda ready made!! Kibaya ni kuwa wengine hudiriki kutembea na waume za watu
 
Asante kwa ushauri wako dada natamani kama ningekuwa na uwezo uwe mpenzi wangu milele niape na wewe kanisani kwa shida na raha ya duniani hapa
Naongea kutoka moyoni na siyo kichwani
 
Back
Top Bottom