Waraka kwa Wabunge Wote TZ

Waraka kwa Wabunge Wote TZ

Umeandika vizuri na ujumbe utawafikia waheshimiwa wote kwa ujumla wao. Ila hapo kwenye blue napata taabu saana kwa sababu wewe mwana JF unasema huelewi maana ya katiba! a graet thinker? sasa watu wa vijijini watasemaje? tafadhali jitahidi japo ku-google upate japo ABC za katiba. goodday.
Mara nyingi tunapozungumza hapa huwa tunatetea maslahi ya bibi zetu sisi tunajua maana ya katiba ila wao.
 
Mkuu, nakupigia salute..ila uchofu change is coming soon....

Tanzania ya leo sio ile ya 90.
 
Back
Top Bottom