Waraka kwa Dr. Slaa

 
Tetty umesema "chuki ya watu waiwili inamaliza taifa" lowassa alimweka kikwete kwa sababu zake na siyo kwa sababu alikua kiongozi safi kuliko wote muda huo, kikwete akamtosa, lowassa akawa anamuhujumu kikwete na serikali yake na maadui wote real and perceived, sasa kwa nini tuamini huyu ataleta mabadiliko ya kweli tunayoyatamani na kuyataka?

mwingine yeyote hata huyu sumaye ningeamini lakini siyo lowassa, na hapo nasema kati ya hao wagombea wawili wote ni sehemu ya tatizo, huyo akiwa ni mhusika wa ndani kabisa na upuuzi wa awamu ya 4, mwingine akiwa ni watendaji wa awamu hiyo. kwa hiyo unfortunately kwa watanzania itabidi wachague mmoja aliye bora kati ya hao wawili. huyu aliyevaa gwanda la mabadiliko wakati wanamabadiliko wenyewe wakiwa wamegawanyika na ujio wake na utekaji wake hayo mabadiliko huku wakiamini yeye ni sehemu ya tatizo na kwa hiyo siyo dawa ya hilo tatizo, au mwingine aliyeko kwenye hayo matatizo ijapokua siyo sehemu kubwa ya hayo matatizo.
 
Aisee! TZ kuna vichwa vibovu sijapata ona .kweli unafikiri Magufuli akikamata nchi ataweza kufurukuta kwa hao waliomweka atakuwa mpole na atafwata nyayo zao.hataweza hata kukemea kitu,si naye atakuwa wa syastem! jamani watanzania wezangu tunahtaji kungoa hiyo ngome.😛eace:😛eace::smash:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…