Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

Uchaguzi gani huo uliojaa ubabe na u jambazi, Rais wenu alishawahi kuwaambia wakurugenzi wa halmashauri wasitangaze washindi kutoka vyama vya upinzani
 
Bawdhi ya Maaskofu hovyo kabisa kama wanataka siasa wajiunge na siasa waache uinjilisti na Utume
Kwel dunia ipo ukingon ,Yesu alisema mtatukanwa na kuawa kwa ajili ya Jina Langu.kwel kama maaskofu ndo wanapokea matus kutoka pale jengo la Lumumba tena bila hat kufcha Mungu atawatetea
 
Hapa kazi tu..... kazi gani? Kwa namna gani kwani kabla ya awamu hii ya 5 tulikua hatufanyi kazi?......kuhusu suala la mauaji usitumie yale yaliyotokea sehemu nyingine kuhalalisha huu udhalimu mnaoufanya....Ova
 
Hapo ulipo, funga hiyo baa, waite marafiki zako, kunyweni balimi (au chochote) tani yenu. Ninakuja kulipia.

Asante sana.

Hawa watu wameelekezwa na wafadhili wao wa nje kuwa waiingize hii nchi kwenye vurugu (ndio sababu ya haya maandamano yanayoratibiwa na Mange).

Katika hii vurugu wanategemea vifo vingi (kumbuka Mbowe alichokisema Feb. 16? - Tunataka tubebe majeneza 200) ili wafadhili wao waweze kuwa justified kufanya walichokifanya Libya.

Kumbuka pia siku hiyo hiyo Halima Mdee alisema wanataka TZ iwe kama Libya.

This is not a coincidence. This is a conspiracy.

WaTZ wenye nia njema na nchi yetu tusipowakemea hawa mafidhuli watatuingiza kwenye ule mkenge wa Libya au Syria.

SHAME, SHAME, WE KNOW THEIR NAMES.
 
kuingia darasani ni njia ya kuondoa ujinga, kwa wengine inaweza kuwa ukazawadiwa ULIPUMBA.
 
Huyu mtoa uzi ametoa waraka au anatoa malakamiko ambayo kiuhalisia hayaeleweki,naona yuko kikada zaidi.Hongera sana ndugu umejitahidi walau kutia dukuduku
 
Jamaa anaweza kuwa na point lakini hapo mwisho tumemuelewa point zake zina maana gani!! Ameshindwa kuitimisha vizuri na kuonyesha mapenzi yake!
 
Mkuu dua yetu siku..zote hua ni mungu ibariki tanzania na watu wake,ibariki afrika...lakini siku hizi tunamuombea mtu mmoja tu....
 
Mkuu, unaishi nchi hii ya tanzania au umeteremka toka Mars kuja kula pasaka?
Vyama vya upinzani haviruhusiwi kukusanyika popote nchi hii kufanya kikao: kiwe cha ndani au hadhara; polisi wanaingilia.Ni juzi tu chadema walibuni kufanya kikao cha ndani kwenye ofisi za ubalozi na polisi ikafyata mkia!Hicho kikao cha ubalozini ndicho unachozungumzia kwenye komenti yako hapo chini?

Vyama vya upinzani vina uhuru wa kufanya vikao? ,Ndio hata leo CDM wamekutana,,haki gani zaidi??
 
Bawdhi ya Maaskofu hovyo kabisa kama wanataka siasa wajiunge na siasa waache uinjilisti na Utume
Hawawezi kuwa wa hovyo kama baba yako waliosimama clouds Tv nakushindwa kukutaja kwamba una it wa Daudi Albert bashite nakushindwa kuueleza umma kwa nini unapumuliwa kisogoni
 
Viongozi wa dini mnakera sana mnapokosoa serikali inayotimiza wajibu wake. Hivi nyie maaskofu mngekuwa ndo rais wa tanzania mngeruhusu kila upuuzi utokee ndani ya utawaka wenu?

Mwacheni magufuli apige kazi.
Ni baadhi ya viongozi wa dini waliokua wananufaika na mfumo flani wa kuijiingizia vipato kwa mgongo wa dini sasa hivi kumebwanwa nanajaribu njia nyingi ili ionekane badhi ya mamabo ya serikali sio sawa kwa chuki binafsi
 
Yaani inasikitisha sana kwa aina ya watu ambao kujibu hoja ni kutanguliza matusi na kudhani wao wana akili kuliko watu wote!natamani ifikie watu wajibu kwa kutumia hoja ili tusiofungamana na upande wowote tujue pumba na mchele ni upi sidhani kama siasa ni uadui wa kiwango hicho au ndiyo ukoloni mamboleo?siasa imekuwa ushabiki kama wa Simba na Yanga!!eti ushinde wewe tu ukishindwa umeonewa!!
 
Heheh naona mumefungua troll factory kama ile ya Urusi.mana mko wengi sana skuizi.naombeni mnipe tenda ya kuwasupply internet, smartphones,pcs na analytics
 
Mkuu serikali ina dhima ya kulinda aman, kwahiyo hata kama haijaua yenyewe basi italaumiwa kwa kushindwa kuwalinda, pia kuuawa kwa 2pac hakuhalalishi mauaji Tz.
Pia utambue kuwa vyama pizani sio uasi, vipo kisheria
mtumwa wa B7 ataelewa kweli, ngoja nisubiri.
 
"jaruri, napendkeza mshahara wa msemaji mkuu wa serikali na mwenezi wa CCM wa mwezi huu kama haujalipwa upewe wewe
 
"jaruri, napendkeza mshahara wa msemaji mkuu wa serikali na mwenezi wa CCM wa mwezi huu kama haujalipwa upewe wewe
Hahahahahaa acha mzaha kamanda,ila ukweli ni kuwa CDM watatupeleka pabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…