War robots player

danali

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
1,135
Reaction score
1,675
Habari wakuu
Mimi ni mshabiki sana wa games hasa hasa mobile games sababu muda mwingi napata free nikiwa kazini kuliko nikiwa kwangu
Nilikua najaribu kutafuta mashabiki wenzangu kama wapo wanaocheza hili game la WAR ROBOT wa hapa tz maana nimechoka kuplay solo na nipo katika clan ya kirusi sifaham lugha yao
Nilijaribu kujiunga na clan za Tz lakin naona zoye hazipo active





 
Sawa game safi
 
hao warusi si waongee English, sema graphics zinaonekana kali.. subir subir labda utapata wadau wenzako
Wengi wao hua ni pay to win so wakiona hanger yako iko weak hawakuenvite kwenye squard balte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…