Wapwaz na Binamuz,Nawaaga-Nitapotea kwa muda kwenye Jukwaa hili

Status
Not open for further replies.
Sina maneno mengi zaidi ya kukutakia kila la kheri, we will surely miss you

God Bless You

Dr. Slaa alifukua mizizi ya Ufisadi Bungeni, Sasa tumpe Jembe akaing'oe
 
Sina maneno mengi zaidi ya kukutakia kila la kheri, we will surely miss you

God Bless You

Dr. Slaa alifukua mizizi ya Ufisadi Bungeni, Sasa tumpe Jembe akaing'oe

Asante NYU.Ni kweli Dr Slaa apewe jembe sasa ingawa wazee wa chama wa Mkoa wa Ilala wamempa Bakora ya kuwachapia Mafisadi..
 
Uwe unatupitia basi angalau ukipata nafasi bana, kazi na dawa. Best wishes huko 'duniani'

Nami pia nakutakia kila la kheri na mafanikio lukuki dadake,halafu na wewe mosquto ile avatar nyingine umepeleka wapi na yale marangi ya msimbazi kwenye maandishi yako mbona hamna,ile rangi ilikuwa trade mark yako ni sawa na BAK na rangi ya BLUE.nitaanzisha poll humu nione kama avatar yako mpya haituuzii chai.
 
i real admire the courage women just like u! all the best GS
"wanawake tunaweza"
 
GS I give you my hugz & love! Go go GS Kilombero wanahitaji mabadiliko, Tanzania inahitaji mabadiliko!!
 
Uwe unatupitia basi angalau ukipata nafasi bana, kazi na dawa. Best wishes huko 'duniani'

Nitakapokuwa jimboni siku chache kuanzia sasa itakuwa ngumu kupita jukwaa hili.Ila kulee nitapita pita kidogo kuchungulia...
 
1.Nakutakia baraka zote.
2.Una kazi ngumu sana mbele yako,lakini hiyo ni changamoto kwako.
3.Hakuna kisichowezekana chini ya jua.Kama mwanadamu hawezi yupo anaeweza. Huyo ni MUNGU.
4.Uchaguzi una a lot of cookings,faulo nyingi,hila nyingi,husda kibao,wivu mwingi, uongo mwingi,usaliti,WIZI........naaaa....
5.Hayo ndiyo unayoenda kuyakabili.lakini mwisho wa yote heshima KUBWA.......unaitwa....MHESHIMIWA
6.Tumia akili yako yote.Nguvu zako zote....na mwisho muda wako wote.
MUNGU AKUTANGULIE.
 
Nitakapokuwa jimboni siku chache kuanzia sasa itakuwa ngumu kupita jukwaa hili.Ila kulee nitapita pita kidogo kuchungulia...

Jamani na wewe si unatumia Laptop ile mida ya usiku 30 min to 1 hour inatosha sana kutucheki ..Tutakumiss ,utatumiss pia ..kikubwa mama Kaza buti...kwani wao waweze wana nn hata sisi tushindwe tuna nini..natamani ningekuwa hapo nikavaa jezi kukusaidia .
gud lucky
 
Tatizo ni muda FL1.Kupitia Jukwaa hili katika kipindi cha kampeni ni kupoteza muda.Nitakuwa napita kidogo kwenye jukwaa la uchguzi na siasa kupata vitu vitakavyosaidia mchakato mzima wa kampeni..
 
Tatizo ni muda FL1.Kupitia Jukwaa hili katika kipindi cha kampeni ni kupoteza muda.Nitakuwa napita kidogo kwenye jukwaa la uchguzi na siasa kupata vitu vitakavyosaidia mchakato mzima wa kampeni..

...ooohh nooo! Haya bana.
'Gender Sensitive' ni mmoja wetu hapa jukwaa la mapenzi na hatutokubali kumpoteza. Tutamtumia hata links za thread husika achangie.
'Regia Mtema' wewe umesameheka, endelea kuchangia thread za siasa...GS hatumuachii atukimbie hivi hivi tu...
 
God bless you sisy. Go and deliver hope to the people of kilombero.
 
Natabiri USHINDI kwa jina la YESU GS.. Mungu akutangulie kila utakapokanyaga, umepata baraka Mama! All the best of lucky.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom