StephenChafu
Member
- Apr 25, 2016
- 7
- 2
Inaogopesha kuona hadi hii leo pamoja na utumbuaji uliopo bado kuna watumishi ambao hawawajli wateja/wananchi/raia kabisa, watu wanachati Facebook hawamtazami mtu aliye dirishani akisubiri huduma! this is unfair! Nakwazika sana binafsi.