A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 1, 2024 #1 Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,992 Reaction score 132,366 Jun 1, 2024 #2 Basila yupo sana tu Na yuko vizuri tu Ova
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 1, 2024 Thread starter #3 mrangi said: Basila yupo sana tu Na yuko vizuri tu Ova Click to expand... Angekua vizuri asingekubali u-DC. Nahisi hakuandaliwa kuwa kiongozi maana kuna wakati ulikua ukimsikiliza utadhaniwl wa shule ya msingi. Haelewi mifumo ya serikali inavyofanya kazi
mrangi said: Basila yupo sana tu Na yuko vizuri tu Ova Click to expand... Angekua vizuri asingekubali u-DC. Nahisi hakuandaliwa kuwa kiongozi maana kuna wakati ulikua ukimsikiliza utadhaniwl wa shule ya msingi. Haelewi mifumo ya serikali inavyofanya kazi
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,992 Reaction score 132,366 Jun 1, 2024 #4 Andrew123 said: Angekula vizuri asingekubali u-DC Click to expand... Udc alienda tu Ila wakina mwanukuz wako Vzr,bi mkubwa wake kaawacha Njema....huoni hangaiki na vyeo tena Ova
Andrew123 said: Angekula vizuri asingekubali u-DC Click to expand... Udc alienda tu Ila wakina mwanukuz wako Vzr,bi mkubwa wake kaawacha Njema....huoni hangaiki na vyeo tena Ova
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 2, 2024 Thread starter #5 mrangi said: Udc alienda tu Ila wakina mwanukuz wako Vzr,bi mkubwa wake kaawacha Njema....huoni hangaiki na vyeo tena Ova Click to expand... Haangaiki kivipi? Kwan humuoni alivyoumia kupigwa chini?
mrangi said: Udc alienda tu Ila wakina mwanukuz wako Vzr,bi mkubwa wake kaawacha Njema....huoni hangaiki na vyeo tena Ova Click to expand... Haangaiki kivipi? Kwan humuoni alivyoumia kupigwa chini?
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 2, 2024 #6 Huyo Basilah alivyotemwa alimind Sana. Aliandika nyaraka nyingi za kulia Lia, ila ndio hivyo kashasahaulika.
Huyo Basilah alivyotemwa alimind Sana. Aliandika nyaraka nyingi za kulia Lia, ila ndio hivyo kashasahaulika.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 2, 2024 #7 Andrew123 said: Haangaiki kivipi? Kwan humuoni alivyoumia kupigwa chini? Click to expand... Alilia Sana. Akaanza kilujisifia na kulalamika kana kwamba alikuwa na hati mmiliki na ukuu wa Wilaya.
Andrew123 said: Haangaiki kivipi? Kwan humuoni alivyoumia kupigwa chini? Click to expand... Alilia Sana. Akaanza kilujisifia na kulalamika kana kwamba alikuwa na hati mmiliki na ukuu wa Wilaya.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 2, 2024 #8 mrangi said: Udc alienda tu Ila wakina mwanukuz wako Vzr,bi mkubwa wake kaawacha Njema....huoni hangaiki na vyeo tena Ova Click to expand... Alilia Sana kutemwa. Nadhani alikuwa na ambitions nyingi akashangaa wahuni wamezikata katikati. Siasa za bongo ngumi Sana.
mrangi said: Udc alienda tu Ila wakina mwanukuz wako Vzr,bi mkubwa wake kaawacha Njema....huoni hangaiki na vyeo tena Ova Click to expand... Alilia Sana kutemwa. Nadhani alikuwa na ambitions nyingi akashangaa wahuni wamezikata katikati. Siasa za bongo ngumi Sana.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 2, 2024 #9 Andrew123 said: Angekula vizuri asingekubali u-DC Click to expand... Kweli kabisa. Siku hizi Udc umeshuka Sana hadhi imekuwa sehemu ya fadhila na kupunguza njaa kwa wliotemwa.
Andrew123 said: Angekula vizuri asingekubali u-DC Click to expand... Kweli kabisa. Siku hizi Udc umeshuka Sana hadhi imekuwa sehemu ya fadhila na kupunguza njaa kwa wliotemwa.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,974 Reaction score 23,992 Jun 2, 2024 #11 Mad Max said: View attachment 3006589 Click to expand... Huyu Bibi ndio alikuwa ambition kubwa sana.....kiherehere mnooooo
Mad Max said: View attachment 3006589 Click to expand... Huyu Bibi ndio alikuwa ambition kubwa sana.....kiherehere mnooooo
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,230 Reaction score 89,116 Jun 2, 2024 #12 Lambardi said: Huyu Bibi ndio alikuwa ambition kubwa sana.....kiherehere mnooooo Click to expand... Alikua wa moto.. angeslow down angekua mzito
Lambardi said: Huyu Bibi ndio alikuwa ambition kubwa sana.....kiherehere mnooooo Click to expand... Alikua wa moto.. angeslow down angekua mzito
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,851 Jun 2, 2024 #13 Mad Max said: View attachment 3006589 Click to expand... Kilikuwa kifaa cha O-Ten kama sijakosea!
Mr Attorney JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,472 Reaction score 34,511 Jun 2, 2024 #14 Andrew123 said: Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa? Click to expand... Nipo nao hapa Kiberege, nikupe namba zao ?
Andrew123 said: Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa? Click to expand... Nipo nao hapa Kiberege, nikupe namba zao ?
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 2, 2024 Thread starter #15 Lambardi said: Huyu Bibi ndio alikuwa ambition kubwa sana.....kiherehere mnooooo Click to expand... Jiwe akamtuliza
Lambardi said: Huyu Bibi ndio alikuwa ambition kubwa sana.....kiherehere mnooooo Click to expand... Jiwe akamtuliza
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 2, 2024 Thread starter #16 Kitimoto said: Kilikuwa kifaa cha O-Ten kama sijakosea! Click to expand... Jafarai
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,851 Jun 2, 2024 #17 Andrew123 said: Jafarai Click to expand... Asante kwa kuweka sawa
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,776 Jun 2, 2024 #18 Andrew123 said: Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa? Click to expand... role modal wa shishi kwa kuchezea vijana wa kiume
Andrew123 said: Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa? Click to expand... role modal wa shishi kwa kuchezea vijana wa kiume
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,095 Reaction score 69,541 Jun 2, 2024 #19 Kitimoto said: Kilikuwa kifaa cha O-Ten kama sijakosea! Click to expand... Hapana Alikuwa Jafarai Haa
Kitimoto said: Kilikuwa kifaa cha O-Ten kama sijakosea! Click to expand... Hapana Alikuwa Jafarai Haa
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,230 Reaction score 89,116 Jun 2, 2024 #20 Kennedy said: Hapana Alikuwa Jafarai Haa Click to expand... Mzee wa Nipo Busy..