Wapinzani wanapata wapi ripoti za TISS?


Swali la msingi, tutathibitishaje kwamba yale anayosema zito mchumia tumbo ni amini na kweli??
 
Na umri huu sijawahi ona hata ukurasa mmoja wa nyaraka hata moja tu ilioandikwa na TISS
Mid niliiona nyaraka ya toss nilikuwa wakala Wa mgombea udiwani Wa chadema tulipomaliza kupiga kura ccm ilipata kura 4 na chadema tulipata kura 63 kutoka nje kubandika matokeo nikakuta ccm imeandikwa kura 437 na chadema kura 63 nikajuwa hii nyaraka ya tiss nikakimbia kurudi home
 
Boss MASAMILA Mbona Swali lako jepesi.
Kwani umeshindwa kujiuliza Dada wa Taifa alikuwa anapataga wapi Habari Moto Moto Tena kutoka Jikoni Tena za Motooo???!!!
Huko huko Jikoni Kuna Watu kwa Maslahi yao au Taifa wanavujisha Habari.

Wahenga wanasema .... Siri Ni ya Mtu mmoja tu .... Hakuna Siri ya Watu 2 au 3 au zaidi.

So jibu la Swali lako, Akina Kubenea, Zito na wengine, Wanapata habari kutoka kwa baadhi ya Watu wa TISS.


 
Ripoti ya wewe na mkeo chumbani mwenu usiku wa manane watu wanazipataje!
 
Nani kakuambia wafanyakazi wa TISS wametokea anga za juu hawana ndugu zao upande wa pili? Ni mazuzu tu hawajui jema na baya? Au wote ni wafuasi wa chama cha Hamza CCM?!
 
Umeiona Ile video ya rpc wa mkoa fulani? Itafute itakupa majibu ya maswali Yako! Kwa taarifa Yako ukifanya kitu unconsciously ipo siku isiyo na jina kitarudishwa kwenye conscious mind ili ukiseme kinavyotakiwa kuwa! Huo sio uchawi Bali brain chemistry inataka hivyo ili kuiweka nafsi huru! Hivyo ushishangae taarifa za gizani kusambaa Kwa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…