Wapinzani wamerudi nyuma miaka 20

Wapinzani wamerudi nyuma miaka 20

Mwenyekiti wenu juzi kapata 99% huko hai, katoa sh ngapi na wale waliopiga kura 99% ni makondoo au ngurue wa moshi?
Na kuna mshabiki wenu alisema ilitakiwa ifike mia, kwa hiyo kwenu inapendeza ila kwa wengine sio poa.
Unaonyesha wazi uwezo wako wa ufaham ni mdogo sana.

Tafuta popote niliposhangilia huo upuuzi. Mimi sio wa hivyo mjomba.
 
Mwaka 1992 Tanzania inarudisha mfumo wa vyama vingi
NCCR MAGEUZI ilikuwa na manguli wa siasa

Mpaka tunaingia katika chaguzi wa vyama vingi 1995 NCCR ilikuwa na watu wenye uwezo wa kuongoza dola na Taifa kwa ujumla

Baada ya hapo NCCR ikafa
Ikafuhatia CUF 2000 - 2005 Ilikuwa na watu wenye uwezo na ushawishi wa kushika dola
CUF nayo ikaja kufa
Ikafuhatia Chadema 2010 - 2015
Watu walikuwepo wenye uwezo wa kushawishi na kushika dola

Baada ya hapo Chadema nayo ndembe ndembe
2020 CCM haina mpinzani kabisa
Labda kwa upande wa visiwani angalau kidogo ACT wazalendo
Wakipewa dola kule Zanzibar watu wenye uwezo na ushawishi wa kushika dola na kuongoza serikali wanao na nchi itatulia bila wasi wasi wowote

Upande wa bara 2020 hakuna chama chenye wanasiasa bora na manguli wa kushika dola na kuiongoza
Ukweli ndio huo na ni lazima usemwe.

Siwaoni manguli wa siasa Chadema, wala CUF, wala NCCR mageuzi hata ACT upande wa Tanzania Bara hakuna ushawishi wowote wa kisiasa zaid ya harakati kama zile za kumpokea LISU kwa maandamano na kisha giza likizama na story imekufa

Unafanya harakati za kwenda kuaga mwili wa mzee mkapa kwa mbwembwe unazuiliwa kuingia uwanja wa Taifa kwa kutokufuhata protokali na story imekwisha
Hoja yangu 2020 wapinzani wametepeta mapema asubuhi tu...
Mwenye kubisha na abishe tu
Chadema ina wanachama hai 6.7 m bado wale wapenzi na marafiki...kajipange upya utachekesha watu
 
Eti wanachama mil 6.7
Changanya na Cuf, NCCR, NLD
na wale wa mafuriko ya lowasa wengine kutoka CCM TEam lowasa
Ndio tumepata kura mil 6

hivi sasa CDM wakipata kura mil 3 za urais wakatambike na wafanye sherehe kubwa ya kula kitimoto pamoja na faru john..
 
hivi sasa CDM wakipata kura mil 3 za urais wakatambike na wafanye sherehe kubwa ya kula kitimoto pamoja na faru john..
Pole sana,
porojo hizo wenzio hata Polepole wameshashituka na wameziacha.
Bado kidogo Ndugai anaeona aibu kwa kelele nyingi alizopiga bungeni ili kuwajaza ujinga mamluki wenu.
 
Back
Top Bottom