Wapinzani tuaminiane ili kupunguza aibu ndogo ndogo kama hii ya Mpina

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
22,138
Reaction score
32,715
Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.

Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.

Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.
 
Mbona hujaongelea la Lowassa kuondoka CCM mwaka 2015 na kesho yake akawa Mgombea Urais wa Chadema? Au kwa Chadema ilikuwa sawa eti?

Na usisahau baada ya Uchaguzi Mkuu alirudi CCM!!!
 
Mpina kawaponza ACT
 
Huu ujinga aliufanya Mbowe in 2015
 
Sasa sijui unataka watu wajadili kitu gani kwenye mada kama hii.
Unaanza kwa kusema "wapinzani tuaminiane..."; lakini husemi kwa nini hamuaminiani?

Kwa hali hiyo hiyo; kuna sababu unazozijuwa wewe za baadhi ya wapinzani kama hao ACT wasiaminiane na CCM?

Je, wapinzani waaminiane mchana na usiku wakavuruge uaminiani kati yao kwa kwenda kwa CCM wanaoaminiana zaidi nao?

Najuwa si mara yako ya kwanza kuhimiza "kuaminiana", lakini kila mara unajifanya kuwa kama hujui uhalisia wa mambo ulivyo. Hilo ndilo linalo nitatiza na huku kuaminiana kwako unakokuhimiza.
 
Mbona hujaongelea la Lowassa kuondoka CCM mwaka 2015 na kesho yake akawa Mgombea Urais wa Chadema? Au kwa Chadema ilikuwa sawa eti?

Na usisahau baada ya Uchaguzi Mkuu alirudi CCM!!!
Katiba ya Chadema inasemaje na katiba ya ACT inasemaje?

Ficha upumbavu wako kwenye hadhara ya watu wenye akili.
 
Mbona hujaongelea la Lowassa kuondoka CCM mwaka 2015 na kesho yake akawa Mgombea Urais wa Chadema? Au kwa Chadema ilikuwa sawa eti?

Na usisahau baada ya Uchaguzi Mkuu alirudi CCM!!!

sasa wewe unaleta mambo ya 2015? Ndio maana nimetoa ushauri wa kuachana na hii kasumba.
 
Kwakweli nilishangaa ACT walipomchagua Mh Mpina kuwa mgombea wao wa Urais JMT. Nilishangaa Sana kwamba Jana yake kabla hajateuliwa kuwa mgombea urais, Kiongozi wa chama Mama Dorothy Semu alikuwa akimpiga picha za usajili wa kadi ya uanachama live kabisa kqenye TV.

Nikajiuliza swali, inakuaje Mpina atoke CCM Leo kesho yake apewe ugombea urais wa chama? Kwamba ACT hakuna mtu mwenye sifa za kugombea urais zaidi ya Mpina?. Hilo lilinishangaza Sana. Yani ACT wakarudia kosa la 2020 la kumpa ugombea urais mgeni kutoka CCM.

Ushauri wangu ni kwamba vyama vya upinzani viachane na kasumba ya kubeba wagombea urais kutoka CCM ni aibu Sana. Tena mgombea urais anatoka CCM Leo kesho anapewa ugombea urais. Ni kujidharilisha na kujishuaha mbele ya CCM kwamba ndani ya vyama vya upinzani havina watu sahihi mpaka wakope watu kutoka CCM . Nadhani maneno ya Esther Bulaya mliyasikia kwa umakini.

GzQFsEZXsAArTy-.jpeg
 
Back
Top Bottom