Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,543
- 49,417
Mtakuwa wajinga mpaka lini?
Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani?
Nyie wapinzani mko kama fisi anayemnyemelea mtu anayetembea gizani akirusha mikono, mda wote fisi anamwaga mate akitarajia hatua mbili mbele mkono utadondoka auokote aule.
The same kwa CCM mda wote CCM wanapoteleza au kukwaruzana ndani kwa ndani wapinzani hufurahi
wakidhani hiyo itakuwa njia ya wao kuingia Ikulu.
CCM ni chama cha kipekee sana, kwenye mambo ya kitaifa hutupa tofauti zao zote na kuzungumza lugha moja..
Hii slogan CCM wametembea nayo miaka kwa miaka.