Wapinzani mnavuna mlichokipanda

soma vizuri, binti amefariki kutokana na maandamano haramu, wish Risasi ile ingemramba mmoja wa viongozi wenu.



Mbona siasa zinakuvua utu kijana??? Hao viongozi ni baba/mama wa MTU ni mke/mume wa MTU ni ndugu wa MTU ni jirani wa MTU ni tegemeo la mtu ni watoto. Siasa isikufanye ukakosa utu. Kwasababu wamechagua upinzani ndo wasiwe na haki ya kuishi?????

Ebu kaa ujitafakari siasa zinakupoteza unakuwa kama shetani(maana shetani ndo hana utu)

Wapinzani wa leo ni watawala wa kesho. Na wao wakija wafanyia watoto wako au wajukuu zako unayotaka wafanyiwe sasa. Haitakufraisha.


Tulia ujitafakari.
 
Walichopanda cdm ni mbegu madhubuti isiyodhaifu baada ya kuidharau mbegu dhaifu, sasa cdm wanavuna walichopanda, raisi madhubuti!!!
tunamsubiri muda wake amalize tumpandishe kilingeni, najua kwa sasa hawataweza, akimaliza watu wanae, na hapo sidhani kama waliomtangulia au atakayekuja atamuwekea kinga
 
soma vizuri, binti amefariki kutokana na maandamano haramu, wish Risasi ile ingemramba mmoja wa viongozi wenu.

Maandamano 'Haramu' huwa yana tawanywa kwa Risasi za Moto ?

Karma ita kutafuna ,ipo Siku ata dunguliwa Ndugu yako ili uya kumbuke haya maneno yako hapa
 
Maandamano 'Haramu' huwa yana tawanywa kwa Risasi za Moto ?

Karma ita kutafuna ,ipo Siku ata dunguliwa Ndugu yako ili uya kumbuke haya maneno yako hapa
Haramu ni haramu tu..............
 
Alieanzisha hayo maaandamano haramu ndio anao wajibu wa kukaa chini na kujitafakari sana, tena narudia hyo risasi ilipaswa kumuingia yeye.
 
Na wewe mkuu unavuna nini!?
Vyuma vimekaza na girisi imeadimika lakini watz tunadhani ni wapinzani tu wanaoumia. Ukweli ni kwamba JK alikuwa kama alivyokuwa na awamu hii haimbadilishi bali inaongezea machungu. Ukweli unaouma ni kwamba ccm haiwezi kutoa kiongozi mzuri hadi pale tu itakapoenda likizo walau miaka 10.
 
Hakika wewe damu yako ni kijani kibichi kabisaa, na hili limekufanya usijue chochote nje ya box.
 
THANK YOU!

You have a poor brain ndio maana umeandika huu uharo hapa dammit!
Once again nonsense if not crap n your high stupidity level Next......
Wapinzani wanavuna walichopanda walipanda nini?
Tukutane 04/26/2018
 
Huu si ukakamavu wewe. Hili lingekutokea wewe usingeandika hivi.


 
Halafu Mbowe na Lema ndio wakabidhiwe nchi au Lowasa?????
 
Halafu Mbowe na Lema ndio wakabidhiwe nchi au Lowasa?????
Nchi inayoendeshwa na watawala ni lazima mtu kama wewe uwe na mashaka lakini nchi ikikabidhiwa kwa VIONGOZI maana yake itaendeshwa na wananchi wenyewe.
Ndio maana nchi kama Canada wanampa kijana wa miaka 30s kuwa PM maana wanajua ni wao wanaomtuma na akawatumikia tofauti na sisi tunaotumikia watu ambao hatukuwafanyia hata usaili!
 
Sawa mkuu nimekuelewa chadema ndio waliompiga risasi akwilina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…