Wapinzani mnamsikia Yericko?

Yote hayo yatakapokuja wabayoyaleta waelewe kuwa nchi hii ni yetu sote, alikuwepo Mobutu, Iddi Amini, Saddam Hussein, Ghadafi lakini wote hao wako futi sita chini licha ya nguvu walizokuwa nazo
 
Hakuna chama cha upinzani cha kwenda ikulu kama viongozi wa vyama hivyo ndo wahalifu wakubwa ktk nchi hii
 
Mbona Umoja wa UKAWA 2015 waliangukia pua. Yericko tumeshamzoea na NDOTO zake za Mchana kama Bwana Yule Mzee wa Kuota.
 
hahahahaha hata wangefanikiwa kwenye nini kamwe hawawezi gusa ikulu.
 
hahahahaha hata wangefanikiwa kwenye nini kamwe hawawezi gusa ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…