Wapinzani kumpeleka kasi Magufuli

Wapinzani kumpeleka kasi Magufuli

mastersajenti

Senior Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
165
Reaction score
24
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa .Mile ambacho Wapinzani walikuwa wanakitaka Mh.Magufuli ameanza kukitekeleza.Toka upinzani umepamba moto umekuwa unaitaka Serikali ya CCM .

Kuacha kusamehe kodi kukumbatia mafisadi Na kila aina ya uchafu. Kutokana Na hali hiyo Mh. Magufuli akaamua kuanza mchakamchaka Wa kufuatilia maovu yote yakiwemwo ya ukwepaji Wa kodi uliokuwa unafanywa Na baadhi ya watendaji wakishirikiana Na viongozi ndani ya serikali Na chama cha CCM.

Hongera Wapinzani.
 
Tuwapongeze pia Ccm,ila sikujua sera za upinzani zinafanana na za Ccm.!Lakini pia wapinzani watuombe radhi watz kwa kutaka kutuingiza mkenge kwa Yule Jamaa 'nywele nyeupe'.ingekuwa si rahisi kuwa mtekelezaji mzuri wa hizo sera..!
 
Wanachokitaka au wanachokihubiri..? Hivi hawa akina Sumaye, Tambwe Hizza, Masha, Lowassa, Mgeja, Kingunge, Mshenga Gwajima n. k nao unawaita wapinzani kweli..?
Embu tuwekee japo clip ya sekunde 30 za Lowasa na hao wezi wenzake wakizungumzia Ilani yao.

Tanzania hakuna upinzani ila kuna wababaishaji tu.
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa .Mile ambacho Wapinzani walikuwa wanakitaka Mh.Magufuli ameanza kukitekeleza.Toka upinzani umepamba moto umekuwa unaitaka Serikali ya CCM kuacha kusamehe kodi kukumbatia mafisadi Na kila aina ya uchafu..Kutokana Na hali hiyo Mh. Magufuli akaamua kuanza mchakamchaka Wa kufuatilia maovu yote yakiwemwo ya ukwepaji Wa kodi uliokuwa unafanywa Na baadhi ya watendaji wakishirikiana Na viongozi ndani ya serikali Na chama cha CCM .Hongera Wapinzani.

kukwepa kodi na kusamehe kodi ni vitu viwili tofauti hsc wanakwepa kodi mwadui wamesamehewa kodi na kwa pamoja wote hawalipi kodi.
 
Hapana tuwashukuru badala yake, ndio maana amepatikana Magufuli, Bila upinzani asingekuwapo na nadhani Magufuli anajua hilo na ndio maana anatekeleza bila kusita wala kigugumizi haya ayafanyayo, akijua wazi, wana CCM wengi na wapinzani wote wapo nyuma yake.

Tutakacho watanzania si lazima upinzani ama nani ni yatekelezwe yenye manufaa kwa wote si wao tu.
 
hayawi hayawi hatimaye yamekuwa .mile ambacho wapinzani walikuwa wanakitaka mh.magufuli ameanza kukitekeleza.toka upinzani umepamba moto umekuwa unaitaka serikali ya ccm .

Kuacha kusamehe kodi kukumbatia mafisadi na kila aina ya uchafu. Kutokana na hali hiyo mh. Magufuli akaamua kuanza mchakamchaka wa kufuatilia maovu yote yakiwemwo ya ukwepaji wa kodi uliokuwa unafanywa na baadhi ya watendaji wakishirikiana na viongozi ndani ya serikali na chama cha ccm.

Hongera wapinzani.

bado amekaa subiri atakapopelekwa puta! Mikataba ya madini, gesi, kashifa za kiwila, meremeta, escrow, nk. Haki za binadam, kupanda kwa gharama za maisha, kunyanyasa wakulima, nk
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa .Mile ambacho Wapinzani walikuwa wanakitaka Mh.Magufuli ameanza kukitekeleza.Toka upinzani umepamba moto umekuwa unaitaka Serikali ya CCM .

Kuacha kusamehe kodi kukumbatia mafisadi Na kila aina ya uchafu. Kutokana Na hali hiyo Mh. Magufuli akaamua kuanza mchakamchaka Wa kufuatilia maovu yote yakiwemwo ya ukwepaji Wa kodi uliokuwa unafanywa Na baadhi ya watendaji wakishirikiana Na viongozi ndani ya serikali Na chama cha CCM.

Hongera Wapinzani.

Kwan asingetekeleza wapinzani wangemfanya nini ilihali kashaingia Ikulu? Munajiabisha maana munakuwa munabailika kila.siku na nyimbo togauti mara za mfumo, mara ilani ya CDM anaitekeleza mara bila upinzani asingeyafanya haya??!! Shida ya watanzania ilikuwa kiongozi mwenye nia ya dhati ya kuwatumikia watanzania, anaeona shida na taabu za watanzania hasa wanyonge na kutatua changamoto hizo? hatukuwa na shida na chama wala ilan
 
Upinzani humkumbusha wajibu wake, lakini kuna Majipu watu wanasubiria waone ataweza kuyatumbua? Jipu la kwanza ni zile billion 250 zilizopotea wizara ya Ujenzi baada ya kulipwa makandarasi Hewa. Jipu la pili ununuzi wa kivuko kibovu chakavu cha Dsm to Bagamoyo kwa billion 8 , jibu la tatu ni Escrow, mabehewa feki, chenji ya Rada na chenji ya EPA na chenji bunge la katiba, Kurejesha nyumba za Serikali zilizouzwa kienyeji kwa bei chee, jipu lingine kubwa ni kule CDA Dodoma kutafuna pesa nyingi lakini Dodoma hakuna maendeleo na Serikali imegoma kumuenzi Nyerere kuhamia huko waounguze misafara na foleni jijini Dsm.
 
Wezi wapo CCM mkuu orodha yote ya TRA wote watendaji chini ya Serikali CCM au hukumbuki Mkuu tena Mkuu wake kapumzika
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa .Mile ambacho Wapinzani walikuwa wanakitaka Mh.Magufuli ameanza kukitekeleza.Toka upinzani umepamba moto umekuwa unaitaka Serikali ya CCM .
Kuacha kusamehe kodi kukumbatia mafisadi Na kila aina ya uchafu. Kutokana Na hali hiyo Mh. Magufuli akaamua kuanza mchakamchaka Wa kufuatilia maovu yote yakiwemwo ya ukwepaji Wa kodi uliokuwa unafanywa Na baadhi ya watendaji wakishirikiana Na viongozi ndani ya serikali Na chama cha CCM.
Hongera Wapinzani.
hivi wapinzani wana akili kweli au ni after money?
FISADI aliyetangazwa mwembe yanga kwa miaka 10 ndio mgombea wao
Fisadi aliyetemwa CCM ndio mgombea wao?
UPINZANI UMEKUFA tusubiri 2025
 
Tuwapongeze pia Ccm,ila sikujua sera za upinzani zinafanana na za Ccm.!Lakini pia wapinzani watuombe radhi watz kwa kutaka kutuingiza mkenge kwa Yule Jamaa 'nywele nyeupe'.ingekuwa si rahisi kuwa mtekelezaji mzuri wa hizo sera..!

Kama huyu anaweza haimaanishi yule angeshindwa, ni mambo ya mikakati tu haya. All in all ni kwamba bila ya upinzani!!!! bado ccm ungekua fofofo.
 
Tuwapongeze pia Ccm,ila sikujua sera za upinzani zinafanana na za Ccm.!Lakini pia wapinzani watuombe radhi watz kwa kutaka kutuingiza mkenge kwa Yule Jamaa 'nywele nyeupe'.ingekuwa si rahisi kuwa mtekelezaji mzuri wa hizo sera..!

Hivi ni kweli mama salma kikwete ndio mhusika mkuu wa vimemo bandarini?
Imasekana alikuwa anavusha makontena bila ya kulipa kodi kwa kutumia taasisi yake ya WAMA
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa .Mile ambacho Wapinzani walikuwa wanakitaka Mh.Magufuli ameanza kukitekeleza.Toka upinzani umepamba moto umekuwa unaitaka Serikali ya CCM .

Kuacha kusamehe kodi kukumbatia mafisadi Na kila aina ya uchafu. Kutokana Na hali hiyo Mh. Magufuli akaamua kuanza mchakamchaka Wa kufuatilia maovu yote yakiwemwo ya ukwepaji Wa kodi uliokuwa unafanywa Na baadhi ya watendaji wakishirikiana Na viongozi ndani ya serikali Na chama cha CCM.

Hongera Wapinzani.

Na hongera Magufuli kwa sababu angeweza kuendelea na business as usual.
 
Wanachokitaka au wanachokihubiri..? Hivi hawa akina Sumaye, Tambwe Hizza, Masha, Lowassa, Mgeja, Kingunge, Mshenga Gwajima n. k nao unawaita wapinzani kweli..?
Embu tuwekee japo clip ya sekunde 30 za Lowasa na hao wezi wenzake wakizungumzia Ilani yao.

Tanzania hakuna upinzani ila kuna wababaishaji tu.

Omba Mungu waendelee kuwepo.
 
Manix mtabadilisha gia zote mwaka huu acha angani hata mwezini nendeni nyambaff
 
siuoni usafi ama uzuri wa ccm maana ndio wao walitutenda hadi tukahitaji mabadiliko.

hawana historia ya kutenda jambo lenye manufaa kwa nchi kuliko manufaa kwa ccm.

ndio maana chama kinawekeza kwenye miradi.
 
Back
Top Bottom