Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Mleta mada uko sahihi sana.hapa kinachotakiwa ni katiba mpya tu ndo suluhisho wa haya yote.wapende wasipende hilo ndo mzizi wa fitina tu
Hapa ndio kwa kipaaande namwelewa Laila Odinga.Chadema mtalalamika mpk lini? Unashirikije uchaguzi wa kihuni namna hii?
Na nyie ccm mtabebwa mpk lini?
IPO SIKU YAJA. HATA MUGABE HAKUJUA
Hasira za mkizi......Ikiwa ni miezi kadhaa sasa tangu Meya Boniface Jacob apeleke mashitaka kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma juu ya uhalali wa jina la RC Makonda,Tume mpaka leo imetoa mrejesho gani?
Pia mjiulize uchaguzi wa marudia (kama utakuwepo) wasimamizi wa uchaguzi watakuwa ni kina nani kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi iliyopo?
Nawashauri msijisumbue kwenda Tume wala kufungua kesi mahakamani na zaidi hata uchaguzi wa wabunge kwa majimbo yaliyo wazi msishiriki kabisa.
Nawasisitizia msishiriki chaguzi zozote zijazo chini ya Tume hii na sheria ya sasa ya uchaguzi na badala yake muwaache wajitekenye na kucheka wenyewe.
Ikiwa ni miezi kadhaa sasa tangu Meya Boniface Jacob apeleke mashitaka kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma juu ya uhalali wa jina la RC Makonda,Tume mpaka leo imetoa mrejesho gani?
Pia mjiulize uchaguzi wa marudia (kama utakuwepo) wasimamizi wa uchaguzi watakuwa ni kina nani kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi iliyopo?
Nawashauri msijisumbue kwenda Tume wala kufungua kesi mahakamani na zaidi hata uchaguzi wa wabunge kwa majimbo yaliyo wazi msishiriki kabisa.
Nawasisitizia msishiriki chaguzi zozote zijazo chini ya Tume hii na sheria ya sasa ya uchaguzi na badala yake muwaache wajitekenye na kucheka wenyewe.
Chadema mtalalamika mpk lini? Unashirikije uchaguzi wa kihuni namna hii?
Na nyie ccm mtabebwa mpk lini?
IPO SIKU YAJA. HATA MUGABE HAKUJUA
Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Haujui kilichotokea Zimbabwe hivyo tafuta mfano mwingineChadema mtalalamika mpk lini? Unashirikije uchaguzi wa kihuni namna hii?
Na nyie ccm mtabebwa mpk lini?
IPO SIKU YAJA. HATA MUGABE HAKUJUA