Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,979
- 45,855
Huwa sioni namna ambavyo wapinzani huwa wanapata faida pale wanaposhinikiza kuvunjwa kwa baraza ama kubadilishwa kwa kiongozi wasiyemtaka!
Obviously Rais akiweka watu wanaopendwa na upinzani! Then hakuna haja ya kuendelea kuwa upinzani kwakua aliyepo anakifanya kile unachokihitaji!
Ingekua faida zaidi kutotaka mabadiliko ya serikali usiyoiongoza ili upate points za kukutofautisha mayo, lakini ajabu sana wapinzani huishia kulilia tu kuvunjwa kwa baraza LA mawaziri ama kubadilishwa kwa kiongozi flani!
Binafsi naona kama tuna aina ya upinzani usiojielewa!