Nashangaa kwa sasa Chadema na vyama vingine vya siasa mpo bize kumpigia vigelegele Mama President as if ni mwanachama cha Hashim Rungwe kaingia Ikulu, mind u, CCM ni ile ile na ndio bado iko madarakani. CCM haijawahi kuwa fair kwa Upinzani nchi hii.
Huu ni wakati wa Upinzani kujenga na kurejesha imani kubwa kwa wananchi. Waje na mbinu mbadala za kuwashawishi wananchi wawachague. Come 2025, mkiendelea na hivi vigelegele mnavyokazania CCM inashinda kiulaini.
Mama ni M-CCM wa zaidi ya 15 yrs, kaongoza na Magufuli 5 yrs, now ni rais. Yes, kuna vichaka vya Magu ataviwasha moto, lakini yote ni kwa faida ya CCM, trust me!
Pambaneni mitandaoni, pambaneni majimboni, onesheni CCM inaboronga wapi na nyie mtarekebisha nini ikiwa mtapata japo ubunge again.
Kumbuka: Mkimsifu sana Mama, mnaisifia CCM ile ile inayowasurubu!!
Kazi kwenu!
Awe Arrogant au awe mpole, bado ni mwana CCM na atafanya yote kwa Sifa ya CCM!Hakuna anaesema mama ni chadema, ila hawezi kua arrogant kama marehemu.
Hata jana hakumfokea mkurugenzi wa bandari,
Aliagiza kwa upole kabisa
Kwa manufaa ya naniNdio lengo la chama chochote cha upinzani, kushika dola
Hata ningependa iwe hivyo ila mbadala wake isiwe chadema au actCCM must go. Hata iwe chini ya malaika tofauti na yule aliyepita. Bado kinatakiwa kistaafishwe. Kimeitawala nchi yetu kwa miaka mingi na kuwafanya wananchi walio wengi kuwa na umaskini wa kutupwa wa kipato na hivyo kushindwa kuijua kesho yao.
Kwa hiyo CCM ndo ikuunganishie watu? Thubutu! Fight the enermy even if he is so down!Kabla ya yote tunataka Taifa lenye Afya mshikamano na umoja kwa mstakabali wa vizazi vijavyo.
Hatutaki kuja kuchukua nchi iliyogawanyika vipande vipande halafu tushindwe kutawala.
Ndio lengo hilo, umechelewa tu kujua. unafikiri kazi ya siasa na kuchekeana?Kwahiyo lengo ni kuing'oa ccm bila kujalisha kiongozi aliyepo ni bora au LA si ndiyo