wa4
Senior Member
- Jul 2, 2016
- 158
- 65
KAMA MIMI NIISHIVYO MILELE NA MILELE, 1, najiuliza vitu , ni mwanadamu gani mwenye uwezo huo, wa kuishi milele na milele 2, ni mwanadamu gani mwenye kufikiria kitu kama hicho, 3, kunampatia faida gani kudanganya vile, kwa sababu hakuna mwanadamu anayeishi milele na milele, 4, ni nani huyo au kizazi chake bado kipo na kipi (familia yake) wapingao uwepo wa MUNGU pingeni kwa hoja si matusi