Wapiganaji wa Tigray waua raia 120

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,070
2,000
Wapiganaji wa #Tigray wamewaua raia 120 wa mkoa wa Amhara ndani ya siku mbili. Watu hao walikuwa ni wakulima wa mji wa #Dabat ambapo namba inahofiwa kuwa kubwa kwa kuwa watu wengi hawajulikani walipo

Tangu kuanza kwa mgogoro wa #Ethiopia na Tigray miezi kumi iliyopita maelfu ya watu wameuawa huku mamilioni wakikimbia makazi yao. Mapigano yalitoka Tigray na kuhamia mikoa ya Amhara na Afar mwezi Julai

====
ADDIS ABABA (Reuters) - Rebellious forces from the Tigray region killed 120 civilians over two days in one village in Ethiopia's Amhara region, local officials told Reuters on Wednesday.

The killings happened in a village 10 km (six miles) from the town of Dabat on Sept. 1 and 2, according to Sewnet Wubalem, the local administrator in Dabat, and Chalachew Dagnew, the spokesperson of the nearby city of Gondar.

A spokesperson for the Tigrayan forces did not immediately respond to a request for comment.

"So far we have recovered 120 bodies. They were all innocent farmers. But we think the number might be higher. There are people who are missing," Sewnet, the local administrator, told Reuters by phone.

War broke out 10 months ago between Ethiopia's federal troops and forces loyal to the Tigray People's Liberation Front (TPLF), which controls the Tigray region.

Thousands have died and more than two million people have been forced to flee their homes. Fighting spread in July from the Tigray region into the neighbouring regions of Amhara and Afar, also in the country's north.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom