Wapigaji Wangu Hatari wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Wa muda wote

1.JUNINHO PERNAMBUCANO.
2. DAVID BECKHAM.
3. ROBERTO CARLOS.
4. CRISTIANO RONALDO.
5. RONALDINHO.
6. ANDREA PIRLO.
7. ZINEDINE ZIDANE.
8.LIONEL MESSI.
9. LEIGHTON BAINES.
10. HAKAN CALHANOGLU.
Umemsahau fulbak wa Leeds united yule mu Irish
 
Katika ulimwengu huu wa soka hasa katika mipira iliyokufa huwezi kumsahau jembe moja la Kiholanzi.....Petrus Ferdinandus Johannes "Pierre" van Hooijdonk huyu bwana alipita Celtic,Benfica,Fenerbahçe na kule nyumbani kwao Feyenoord.Kunadharia tukiacha ushabiki David Bekham alikua anasubiri sn kwa utaalam wa huyu jamaa.
 
Mkuu Beckam alikua mkali sana huyu bwana hakufikia uwezo wa Becks
 

Juan roman requelme Alifananishwa na zinedine zizoo katika ubora wake. Hakuwa na bahati tu.
 
Duh! Huu ukoo ni hatari kama ni hivyo. Mimi Nakamura nayemjua ni huyu



Shinsuke Nakamura

 
  1. DIEGO ARMANDO MARADONA
  2. LEONEL MESSI/MCHAWI
  3. JUAN ROMAN REQUELME
  4. DAVID BECKHAM
  5. CRISTIANO RONALDO
  6. JUNINHO
  7. FERNANDO CARLOS REDONDO
  8. ORIEL ORTEGA
  9. HERNAN CRESPO
  10. DIEGO FORLAN
  11. SAVIOLA
  12. JUAN PABLO SORIN
  13. JAVIER ZANETTI
  14. ROBIN VAN PERSIE
  15. ROBERTO CARLOS
  16. PABLO AIMAR
  17. ROBERTO AYALA
  18. CLAUDIO JAVIER LOPEZ
  19. GUSTAVO LOPEZ
  20. WALTER SAMUEL
  21. GABRIEL BATISTUTA

Argentina imejaaliwa vipaji. Katika dead balls naweza kusema Argentina wako juu tuacheni utani kulikuwa na majembe balaa.
 
Ongeeni yote ila kama hamjui basi mjue. Kwenye dead balls Mungu wa soka Diego Armando Maradona hakuwahi kuwa na mpinzani. Hao mnaowataja wooote ni kizazi cha juzi tuuu
 

Allesandro del piero
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…