Na wao wanataka wakapost.Wengine tena mamen yana komaa na sim yanapiga picha sijui anazipeleka wapi wakati anaweza kuangalia live kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu je alitaimu vizuri?Naona sasa kuna haja ya kufundishana namna ya kupiga picha kuna baadhi ya picha unaona kabisa hazijabeba details muhim
Kutokana na mpiga picha kukosa timing ya picha au kukosea angle ya yeye kuchukulia hiyo picha
Kama hii picha huyu mpiga picha kakosea timing kwann asisubili mhusika ashushe mguu View attachment 1034577
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes magari yote ya watalii yanaonekana yupo katika perfect angle na amechukua tukio katika perfect time yaan magari yote yamesimama i like itHuyu je alitaimu vizuri?
View attachment 1034912
Huyo jamaa anacheza kushoto kulia nini[emoji16]Naona sasa kuna haja ya kufundishana namna ya kupiga picha kuna baadhi ya picha unaona kabisa hazijabeba details muhim