Wapiga mizinga wengi wabovu kitandani

Hahahahah...haaaaaa kuna vioja humu. Pole Mkuu kwa kupigwa mzinga afu hujafaidi
 
Duh! Safari bado ndefu sana hii...
 
Mbona unakuwa mbaguzi na wewe? Je kwa wavulana inakuwaje? kwa sababu wanaume hawana tabia hizo.
 
Aisee
 
Hv mwanamke anapo kuombaomba pesa siina maana mmeuziana? Mi waivyo namuacha na huwa niwepesi kulialia kuwa wanaume niwasaliti sana nani anae penda kugeuzwa ATM machine mi ctak kufirisika hata.
 
Mara nipangie nyumba upande mmoja
 
Mara nipangie nyumba upande mmoja wakati huo ww ni mchimba mitaro hahahaaaa
 
Kama kuna kaukweli hivi, ngoja tuwasubili wapiga mizinga na povu likitoka tu ujue tayari
 
Mara nipangie nyumba upande mmoja wakati huo ww ni mchimba mitaro hahahaaaa
hahaha umeona eeh...lakini kama kweli anajituma na unaridhika mbona hata hela yako ya miezi 6 unachukua ukamlipie,lakini service mbovu demand nyingi si useme tuu naiuza utaje bei yako mpatane...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…