jina linaendana na tabia ya mtu anagawa huyo kweli ana wema bado mimi tu kunionyesha wema wake
Kama umeuona hadi wema wa Rihana umeshindwaje kuuona wa Wema?
Aibu naona mimi
Alafu anaonekana ni mtamu, maana platinum atachepika weeee alAfu anageuza majeshi anarudi kwa wema wake
Wema zamani bhana!!