Ni og? Maana naskia kuna copyNenda Shamirik Electronics wapo Kariakoo, kila nikihitaji iPhone naendaga hapo View attachment 1836588
..sijawahi kununua brand nyingine kwake tofauti na iPhone ingawa anauza Samsung, Huawei so siwezi kuongelea hizo zingine ila iPhone sijaziona Kama zina kipengele chochote. Natumia hadi naichoka naisogeza.
Jamaa amesema ni OG ndio maana ni mteja wao wa mara kwa maraNi og? Maana naskia kuna copy
Hakuna iPhone copyNi og? Maana naskia kuna copy
Ila zipo zipiHakuna iPhone copy
IPhone zote ni originalIla zipo zipi
RefurbIla zipo zipi
Kama unataka Iphone Original na Brand New na Kwa uhakika zaidi nenda tu "I-Store" Mlimani City au Sea Cliff Vilage Masaki. Hayo ndio maduka ambayo ni Certified kuuza Bidhaa za Apple. kwingine kulikobakia nunua at your own risk!Ninahita kujua kwa hapa Dar, wapo zinauzwa iphone Original
Ninahita kujua kwa hapa Dar, wapo zinauzwa iphone Original