Wapi zinauzwa aina hizi za pikipiki? Nahitaji

Kama upo Dar Kinondoni Mkwajuni au Studio katikati hapo kama unaelekea Morocco upande wako wa kushoto kuna jamaa wakiziuza hizi pikipiki nadhani kama bado wapo utaipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki mwenge. Stand kama unaenda makongo. Nilishawahi kununua tsh laki 8 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…