KALITHERMAL Member Joined Aug 22, 2013 Posts 81 Reaction score 8 Dec 14, 2013 #1 Msaada wadau, nani anizifahau zilipo office za tpdc za zamani hapa dar es salaam?
U Ubungo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,306 Reaction score 343 Dec 14, 2013 #2 KALITHERMAL said: Msaada wadau, nani anizifahau zilipo office za tpdc za zamani hapa dar es salaam? Click to expand... ziko Ali Hassan Mwinyi road opposite na jamati la Ismailia kama unatoka salenda kwenda posta
KALITHERMAL said: Msaada wadau, nani anizifahau zilipo office za tpdc za zamani hapa dar es salaam? Click to expand... ziko Ali Hassan Mwinyi road opposite na jamati la Ismailia kama unatoka salenda kwenda posta
MAKANJAMNA JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,138 Reaction score 1,515 Dec 14, 2013 #3 Ubungo said: ziko Ali Hassan Mwinyi road opposite na jamati la Ismailia kama unatoka salenda kwenda posta Click to expand... upo sahii, ni nyumba ya NHC...
Ubungo said: ziko Ali Hassan Mwinyi road opposite na jamati la Ismailia kama unatoka salenda kwenda posta Click to expand... upo sahii, ni nyumba ya NHC...
KALITHERMAL Member Joined Aug 22, 2013 Posts 81 Reaction score 8 Dec 14, 2013 Thread starter #4 Ubungo said: ziko Ali Hassan Mwinyi road opposite na jamati la Ismailia kama unatoka salenda kwenda posta Click to expand... salenda kwenda posta upande gani?unaipita palm beach na ile njia panda ya kwenda Agha Khan?kituo gan cha daladala kiko karibu mkuu?
Ubungo said: ziko Ali Hassan Mwinyi road opposite na jamati la Ismailia kama unatoka salenda kwenda posta Click to expand... salenda kwenda posta upande gani?unaipita palm beach na ile njia panda ya kwenda Agha Khan?kituo gan cha daladala kiko karibu mkuu?