Huwa najiuliza kwanini wazazi wengi wetu huwa tunaamini watoto wetu wana ulazima kufanikiwa katika maisha hata kama sisi wenyewe hatuna mafanikio ?
Sambamba na hilo tumekuwa wakali kulazimisha watoto kufanya tunayotaka sisi kwa mfano mzazi anaweza kumwambia mwanae ningerudi shule leo ningefaulu kila mtihani wa kila somo wakati aliwahi kuwa shule na kuboronga kila siku.Au tunasahau mtoto anabeba tabia za baba na mama yake kama hawajiwezi basi uwezekano ni mkubwa mtoto nae atakuwa hajiwezi!
Naomba michango ya kistaarabu yasiyo na matusi
Post sent using JamiiForums mobile app