Wapi wauzaji wa nguo jumla

Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
892
1,232
Wakuu nafikiri kufanya biashara ya kununua nguo hasa za kiume jeans,shirt na kupeleka mkoani.Nimetembelea kariakoo wauzaji wengi wanapenda faida kubwa naomba kujua kwenye uzoefu wapi naweza pata bei nzuri?
 
Back
Top Bottom