Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Mfano wakisema watu wa bara la ulaya wahamie Africa waziache Mali zao kule na waafrika wahamie ulaya waziache Mali zao Africa.
Baada ya miaka kumi unafikiri wapi pataendelea zaidi na wapi patadumaa?
Baada ya miaka kumi unafikiri wapi pataendelea zaidi na wapi patadumaa?