I would imagine that sehemu yenye bureau de change NYINGI ndipo pana ushindani, hence rate nzuri. Kwa mfano, pale mlimani city ipo moja tu, so, rate yao si nzuri saaaaaaaana japo ni nzuri as compared na bank. Lakini pia haina tofauti ya kutisha sana na rate za mjini, especially kama unataka kuchange dollar kidogo (tofauti inaweza kuwa 20 at maximum)
So, we nenda Kariakoo, Mnazi mmoja au Posta. Mimi huwa nachange pale Mnazi mmoja (kama nina dola nyingi).