Wapi wanatengeneza maturubai na je gharama yake ikoje?
Hi bro's canvas & Tents ltd. Embu wa seach kwa google upate mawasiliano yao
Thanks kaka na nimechukua namba zao na ntawasliana nao.Thanks alot
Mkuu, mimi ninayo yale yatumikayo kwenye mabango. Kama upo interested pm
weka kapicha basi tuone yakoje. Na je unaprint adverts juu yake au? Bei gani?
Ayo ndo yapi...nipe namba yako ya whatsap niyaoneMkuu, mimi ninayo yale yatumikayo kwenye mabango. Kama upo interested pm
unayo mpaka leo au?Mkuu, mimi ninayo yale yatumikayo kwenye mabango. Kama upo interested pm
yanapatikana mkuuunayo mpaka leo au?