Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 194
- 21
mm mwenyew nilikuwa nahitaji hiyo machine Hivi ni sh ngapi? The cheapest one
Zipo Arusha mpigie Richard 0754626616
Kaloleni nyuma ya Golden Rose hotel ulizia slope garden bar ilipo, opposite na slope garden kuna duka linaitwa Printer Associates Tanzania utaliona hilo bango limening'inizwa kwa nje ndo hapo.
mkuu. Epson printer model ya px 660, hakuna sokoni , maana yake hazitengenezwi tena, badala yake kuna epson l800, l210, nk. Bei iko kati ya 600000 to 800000 .zikiwa na continuous ink system (wino wa kujaza). Km unahitaji piga 0766 320 252.
Tupo kariakoo dar es salaam.
Kaka hizo
pia km unataka karatasi aina yeyote ya picha zipo, pia refilling ink, ciss chip, cdr na dvdr aina zote zipo, duplicator machine, vcd na dvd cover aina zote zipo.pia spair za duplicator machine na printer zipo.nk
bei tunauza kwa jumla na reje reja.
Karibu
Kama upo Arusha jaribu Sound&Vision wanazo kwa bei poa.
Sound and Vision wanauza jwa bei poa? Nani kakudanganya? Pale wananunua weny oesa zao mkuu, Bei za Sound and Vision ni kubawa kuliko za Mlima City au duka loloye ninalolifahamu kwa Dar na Arusha. Wale wana exaggerate bei za vitu utadhani wanavitoa Mars.
wale wanauza kwa dollar,itakuwa ulienda siku dollar ipo juu.Sound and Vision wanauza jwa bei poa? Nani kakudanganya? Pale wananunua weny oesa zao mkuu, Bei za Sound and Vision ni kubawa kuliko za Mlima City au duka loloye ninalolifahamu kwa Dar na Arusha. Wale wana exaggerate bei za vitu utadhani wanavitoa Mars.