Tumshikie siti yake mkuu.Joseverest yuko wapi jamani
Kanisa lake lipo barabarani unapoelekea Makongo juu kupita Chuo Kikuu cha Ardhi, ukiimaliza tu ile barabara ya lami, mbele kidogo unapokata kona upande wa kulia utaona bango lina picha ya huyo bushiri, prophet Engel na Mchungaji wa hilo kanisa, Ingia hapo ila nakupa tahadhali usiyategemee hayo mafuta kukusaidia labda kama unataka kujipaka tu kama glycerine na kujiongezea matatizo zaidi ya uliyo nayo....Kumbuka Ni Yesu Kristo tu ambaye Ukimshika na kufuata maelekezo yake utapata vyote unavyovihitaji..Marko 10:29-30...Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe.
Natanguliza shukrani
Sorry, I'm not religious. Nayahitaji kwa kitu tofauti kabisa.Kanisa lake lipo barabarani unapoelekea Makongo juu kupita Chuo Kikuu cha Ardhi, ukiimaliza tu ile barabara ya lami, mbele kidogo unapokata kona upande wa kulia utaona bango lina picha ya huyo bushiri, prophet Engel na Mchungaji wa hilo kanisa, Ingia hapo ila nakupa tahadhali usiyategemee hayo mafuta kukusaidia labda kama unataka kujipaka tu kama glycerine na kujiongezea matatizo zaidi ya uliyo nayo....Kumbuka Ni Yesu Kristo tu ambaye Ukimshika na kufuata maelekezo yake utapata vyote unavyovihitaji..Marko 10:29-30...
Maranatha!
Unaweza kwenda sasa kama ilivyoelekezwa, Kazi njema...Rene Jr!Sorry, I'm not religious. Nayahitaji kwa kitu tofauti kabisa.
Asante.
Mmemkumbuka tena babu wa Loliondo?Dah,WaTz bwana,hamchoki tu kuingizwa mkenge.Bushiri si sawa tu na kababu kale ka Loliondo.Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe.
Natanguliza shukrani
Sasa wewe kama you're not religious unazani utayapata buguruni? Vitu vingine vinashangaza duniani ukinunua kama mawese hayatakusaidia chochote kanisa halibagui mtu yeyote linapokea kila mtu nenda hauta fukuzwa.Sorry, I'm not religious. Nayahitaji kwa kitu tofauti kabisa.
Asante.
We kweli mjinga na mshirikina mafuta ya anoiting na unanua......hahahaha umeshawai kujiuliza kuwa kwanini Mungu hakuuzii hiyo pumzi....Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe.
Natanguliza shukrani