JAYBLA DE JOB
Member
- Sep 26, 2014
- 20
- 2
Naomba msaada wa kunitajia maduka yauzayo accessories za simu kama housings, back covers, memory cards,flash disks, earphones, screen protectors etc yanayopatikana DAR au MOROGORO.
Na kama ni mhusika basi tuwasiliane kwa namba0764022899.
Ubarikiwe sana.
Na kama ni mhusika basi tuwasiliane kwa namba0764022899.
Ubarikiwe sana.