Wapi wanatoa mafunzo ya kutengeneza simu?

Wapi wanatoa mafunzo ya kutengeneza simu?

Mr Kway

Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
23
Reaction score
2
Jaman nilikuwa mnielekeze wapi wanapotoa mafunzo ya kutengeneza cm za aina zote yan smartphone hapa bongo ni sehemu gani plz na shida
 
we Google kuna vyuo mbalumbali vinatoa. au kachukue diploma pia degree ya electronics kama unabigeza
 
Back
Top Bottom