ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Deleted
Nenda DMI utapata msaada zaidiSalaam kwenu wakuu!!
Kama kuna mtu anaefahamu mahali wanapofundisha namna ya kuendesha boti ndogo (out engines) anifahamishe nahitaji kujifunza......nimeingia kwenye website ya DMI na bandari college sijaona hiyo kozi.