Wakuu msaada wa kujua wanapouza hizo camera kama ikiwezekana na mafundi wa kuzifunga ndani ya nyumba kwa Mwanza kuna wezi wananisumbua sana. Leo mara ya tatu wanaiba vitu usiku. Nataka kuzaa nao nikiwakamata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.