Nimekuwa nikitamani kujua kujifunza kupiga kinanda. Muda umefika sasa ambao naona ni mwafaka kuchukua hatua ya kujifunza na kuachana na kutamani tu! Naomba kujua ni wapi wanafundisha ili nami nijiunge kusoma.
Nimekuwa nikitamani kujua kujifunza kupiga kinanda. Muda umefika sasa ambao naona ni mwafaka kuchukua hatua ya kujifunza na kuachana na kutamani tu! Naomba kujua ni wapi wanafundisha ili nami nijiunge kusoma. Aksante