Wapi Utategeka, Mitego hii bana

Duh!Peleken kule kwa wakubwa,imezidi kiwango cha jukwaa hili.
 
Hii miguu nadhani ana asili ya mashamba ya mpunga
 
Mimi nakutaka wewe Aunt mtu,maana mimi sipendi kabisa hivi visista du.Ila tafadhali uwe umeenda huko katavi kikazi kweli sio mwenyeji wa huko,maana watu wa huko tunawajua wenyewe.
 
Kweli uko Katavi. Ole wenu mtakaomnyemelea binti wa Mama Mdogo.

Wataomunyemelea aunt wangu bila kuwa na mkakati endelevu nitawaburuza kwenye Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kwa Jaji Manento!!! (siyo Jaji Ihema,tafadhali, msichanganye!!!!).
 
Mimi nakutaka wewe Aunt mtu,maana mimi sipendi kabisa hivi visista du.Ila tafadhali uwe umeenda huko katavi kikazi kweli sio mwenyeji wa huko,maana watu wa huko tunawajua wenyewe.

Makubwa, yamekuwa hayo tena!!! Katika umri huu wafikiri nipo nipo tu, si rahisi, ninaye wangu!!!!
 
Mmmmmm haya yangu mimacho tuu....ukitegeka umeisha kazi yako!una Mark X?utaulizwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…