Hawa wanafugika kweli?naomba kuanzisha mjadala,kwa maisha ya siku hizi na wameshajua kuwa soko lao liko juu (umbo na urembo) wanavyosumbuliwa kila wakikatiza (shape)..wengi wao wanakuwa hawana misimamo hadi wachakae kwanza ndio wengi wao wanatulizana la sivyo ukiingia hovyo utakufa kwa pressure,kila saa yuko busy sana simu kama vile ni customer care agent kujibu wateja ......