Kama wewe ni mtanzania sidhani kama unahitaji visa. Labda ukaulizie utaratibu mwingine wa kwenda huko.
Nashukuru nimefika huko japo usafiri wa kwenda huko kama huna private car ni mgumu. Ni kweli hakuna visa, ila wanatoa study permit ambayo gharama yake ni 90,000/=, na unatakiwa kulipa repatriation fee (refundable ukirudi) 600,000/=.Kama wewe ni mtanzania sidhani kama unahitaji visa. Labda ukaulizie utaratibu mwingine wa kwenda huko.
Mwili wake umeshaoza kaburini kwa sasaUpo masaki kama unatokea ubungo au kariakoo panda mabasi ya masaki shuka masaki mwisho ulizia uonyeshwe mwaya road maeneo europer super market ni hatua kama 30 kutoka hapo tena ipo kwenye nyumba ya mkuu aliyestahafu kwa kashfa ya richmond